Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 678
nyani haoni kundule
Mimi najali sera kuliko atokako mtu. Tatizo nyinyi mnamshabikia kwa vile baba yake ni Mkenya.
Duh! it is over sasa ninaaamini kuwa Jaluo is the next president sidhani kama hilo lina ubishi tena, Mama Clinton hamuwezi Jaluo hata akimsaidia Makeni, bado wote wawili hawawezi,
Wakati umefika wa Mweusi kuwa rais wa US na Jaluo ndiye, Conservatives hawana kesi against Jaluo, ukweli ni kwamba wao wenyewe hawamtaki Makeni na hawamtaki Jaluo, sasa wanamtaka nani? Kwa mara ya kwanza rangi ya Jaluo ndio the best asset aliyonayo kuingia White House, Makeni ni weak, tena very weak off course haitakuwa rahisi wazungu watapigana to the end, na ninajua very soon itakuja law Suit kutoka Florida na Michigan kupinga matokeo ya delegates wao, lakini still Hillary hawezi kushinda urais wala Makeni a 71 years old amechoka!
Clinton, hakushinda Indiana kama alivyotegemewa, na jana nimemsikia mama anayeitwa Cookie Roberts akilia machozi ndio nikaaamini kuwa sasa ni kweli it is over, Jaluo safi lakini Democratic Party ni garbage, ikibidi Jaluo awe independent in the future!
Hapa hands down Jaluo ni rais, na Mama Clinton the time is up ni vyema akajitoa sasa ili ampe nafasi Jaluo ajitayarishe na general election! Time ya the Clintons, imeisha wamepitwa na wakati sasa!
Safi sana, naona watu wanazidi kuwa converted!
Heshima mbele mkuu, hatuwi converted ila tunafuata ukweli wa siasa ambao haujawahi kuwa permannent, kwa sababu hata tulizonazo leo zinaweza kubadilika kesho, na kuelewa siasa za bulogu kama hizi zetu hapa zinashamiri pale wahusika tunapoweza kuzunguka bila ya kuwa connected na upande mmoja tu, kwa sababu the next thing ni you get watu kuanza kubadili badili majina,
Ndio maana huwa tunajaribu kwenda na wakati, sidhani kama kuna mweusi yoyote anayetaka Jaluo ashindwe, lakini pia sidahani kama kuna mweusi anayetegemea kuwa Jaluo ataupata urais huo kilaini laini, kama ninavyooona watu wengi hapa wanavyojaribu kuuugeuza huu mjadala kuwa kama Yanga na Simba, competition ya Jaluo, Indiana ndiyo imewavunja nguvu wazungu wengi hasa kina Rush kuwa sasa ni saaa ya Jaluo, lakini pia anything can happen kwa sababu wazungu hawatakubali bila ya a good fight!
hatuwi converted ila tunafuata ukweli wa siasa ambao haujawahi kuwa permannent
..acha kutoa porojio zako hapa,wewe si ndio ulisema kama sio hillary basi ni Mccain? tofauti ya Obama na mama ni nini katika sera zao? maana wenzako tunajua Obama asiposhinda basi tunaingiza timu kwa mama kwa sababu hawana tofauti na Obama maana mccain ni tofauti sana na sera zake...anyway tunakujua labda ukawadanganye kina Hannity sio hapa,nenda kaangalie time cover aliyo post susuviri ili ujue nani ni nominee
msee,
nimemwona Terry McAuliffe mapema akiongea.....hakuna dalili za billary kujitoa na ndio kwanza kimama kilikuwa kina kampeni Shepperdstown, WV............hii kitu imelala, billary wataenda mpaka mwisho!!.
Nyani, mi nadhani huelewi how weak McNasty is. Unajua what he's problem is? He is inconsistent, he is a flip flop! Na bahati yake Obama alikuwa busy na Mama, lakini kumbuka Democratic Party ilipotoa ile TV ad kuhusu 100 year war, alivyolalamika.
Kuhusu experience SAHAU!
Kumbuka McCain atasutwa na maneno yake mwenyewe.
Mwaka 2000 alimpigia debe Kichaka ambaye hakuwa na experience, baada ya kuchemka miaka 4 akampigia tena debe in 2004, sasa hiyo ni problem ya judgement! Hamna lolote! In politics it is credibility! Na McCain is loosing that kwa sababu:
- He flipflopped on torture
- He flipflopped on taxes
- He admitted he is not expert in economics
- He is so weak in foreign affairs that he doesn't know the difference between Sunni and Shia na alirudia kosa mara 3. Pia recently he justed cited a missile defense system in Czechoslovakia!!!!!!!!! 😕 I mean didn't he get the news flash 16 years ago that Czechoslovakia no longer exists? ???? Jamani huyu babu ni BWEGE! And he is embarassing the GOP ambao wametoa some fine diplomats and strategists (not in recent history though maana akina Rumsfeld na Wolfenson ni aibu , I m thinking more like Kissinger)
Kama nilivyosema consistently, Obama kwa McCain is victory for Obama!
Nakubali hoja kwamba it will not be easy. But what the Republicans don't realize ni kwamba Americans are ready for change. While they were not ready alipogombania John Kerry, Howard Dean and Al Gore!
That is the whole essence of her being named "the fighter"QUOTE]
Time will tell............Kumbuka hata Tyson alikuwa fighter tena the world's heavy weight champion mara kibao!
That is the whole essence of her being named "the fighter". Pamoja na kwamba mimi binafsi nimejikatia tamaa baada ya matokeo ya juzi, nitaendelea kumuunga mkono so long as anaendelea kubaki kwenye race. Nyani ninaomba baadaye unipe details zako nikupe mchango wangu uwakilishe kwa mama. Nimeenda kule kwenye web address yake kumbe tulio nje ya US hatuwezi kuchangia. Wana sheria nzuri sana hawa kudhibiti mapesa ya ajabuajabu kwenye kampeni za siasa.
Poa, hata mimi nitamchangia dola 1,000.00 leo
Tofauti ya Mama na Obama ni experience. Hivi huyu Hussein Obama wenu atasema nini mbele ya Mac Daddy? Yaani ktk eneo haoni ndani....nawaonea huruma
Lakini wakuu tuache unafiki..lets be real..as a person with African heritage, are you not proud to see BO excelling in USA politics? Iam sure even NYANI and KITILA are!
He he hiyo itaenda kwa Mark Penn au itanunua donuts/doughnut za farewell party na kuvunja campaign team officially.
Ila kudos babu ulileta balance.