US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

..Democrats hawawezi kumtema Obama na ku-risk kura za uhakika za African Americans.

..Democrats vilevile kwa kupitia Obama wame-stumble into a gold mine of YOUNG VOTERS. kumtosa Obama sasa hivi ni sawa na kuchezea shilingi kwenye choo cha shimo.

..nadhani wakati umefika kwa Mama HRC kusitisha kampeni yake.

..kampeni zote mbili zinapaswa kutafuta exit strategy for HRC. Obama ppl should be extra careful in how they bring these primaries to a closure.
 
Bila weusi hawa DemoCRAPS hawana lolote...
 
Mama HRC kaongelea kuhusu weusi leo, kasema watamsapoti tuu akiwa nomeinee, naona anataka possition ambayo hawajakubaliana naye ndio maana bado anakaa, kwa sababu wanasema hana support nzuri kwenye Senate na asingependa kurudi huko. Sasa sijui Obama au DNC wanaweza ku-offer nini kwake. Nimetoka kuisikiliza tena Speech ya jana. (Jaluo kwa Speech, si mchezooo)
 
..Democrats hawawezi kumtema Obama na ku-risk kura za uhakika za African Americans.

..Democrats vilevile kwa kupitia Obama wame-stumble into a gold mine of YOUNG VOTERS. kumtosa Obama sasa hivi ni sawa na kuchezea shilingi kwenye choo cha shimo.

..nadhani wakati umefika kwa Mama HRC kusitisha kampeni yake.

..kampeni zote mbili zinapaswa kutafuta exit strategy for HRC. Obama ppl should be extra careful in how they bring these primaries to a closure.

Mkuu, kipindi kifupi kilichopita uliamini Obama is toast na tulibishanabishana kidogo lakini naona sasa umeamini ya kuwa Jaluo Jeuri ni maverick siyo huyo kibabu McSame!
Obama campaign wamejaa vichwa mle ndani hata wakifanya misstep or gaffe they learn from their lessons. Mi najua wameshamtafutia strategy ya mama kujitoa. Cheki watu wake Hillary akina Bayh walivyoanza kujikomba kwa Obama! Uzuri Jaluo Jeuri hawaumbui anawapa mwanya na hii ni muhimu sana kwani amesema Hillary will leave when she feels like it na amewakataza surrogates wake not to call on her to drop out. Grace under fire!
 
Mkuu Masanja: Donna Barzille sioni kama ni haki kumlaumu for Gore's loss. Kama ulicheki Farenheit 9/11, utaona ni jinsi gani Bush won on technicality ambayo ilikuwa na kaharufu fulani cha upendeleo. Lakini that is not the point. The politics of distraction was en vogue na ilikuwa propagated By Karl Rove et al. Siwezi kumadmire mtu ambaye kazi yake ni ku-smear opponents inside and outside his party! Au umesahau walivyom-smear John McCain mwenyewe?
John Kerry was not comparable to Obama because he voted for the Iraq war, candidate ambaye alim-inspire Obama na Jaluo ametumia watu wake wengi katika kampeni yake ni Howard Dean. Yeye alikuwa 'massacred'by the media with the Dean scream jinsi walivyotaka kumswift boat Obama na Rev Wright. But Jaluo has the advantage of learning from other people's lesson. Also Icadon alipoint out vizuri that people are tired of the politics of distraction when there are serious economic problems, two wars etc.
I agree that despite this, Obama is a very strong candidate and his biggest advantage was that everyone always underestimates him!
 
Hii game over lakini naona wanaomzunguka mama wanashindwa kumwambia ukweli na angalia mtu kama Mccauliffe jamaa alikuwa DNC chairman lakini vitu anavyofanya God knows,kinachofuata sasa ni superdelegates kumwonyesha exit mama na kumpa reality its over maana wanaomzunguka wameshindwa,na hii kitu haifiki Denver maana sasa Hillary hana business yeyote kule zaidi ya kuwa delegate tuu na akiendelea na smear campaign zake which i doubt ndio itakuwa suicide yake...mccain here we come!
 
Hakuna aliyeshindwa...
Mshindi anahitaji wajumbe 2,025, na mara ya mwisho kuangalia Hussein Obama alikuwa na kama 1700 na kitu....

hivi ni kweli unaamini unachoongea(hakuna mshindi) au na wewe uko deluded kama Hillary...kazi mnayo kweli!
 
Hakuna aliyeshindwa...
Mshindi anahitaji wajumbe 2,025, na mara ya mwisho kuangalia Hussein Obama alikuwa na kama 1700 na kitu....

duh, msee yaani umempunguzia BO kama delegates 100+ ktk hizo hesabu zako hapo juu.......talking about spins!!
Jaluo anahitaji kama delegates 180 kufikia hiyo 2025, mama hata akishinda kwa 60+ points ktk vinyang'anyiro vilivyobaki bado hawezi kumfikia jamaa.......Dianne Feinstein(D-CA) a clinton suppoter katoa maneno flani hivi leo ambayo yanaashilia anaweza ku-jump ship wakati wowote.....
 
Delegates:
Obama 1,589.5 Pledged
258 Superdelegates
Total: 1,847.5
Needed: 177

Clinton 1,427.5 pledged
269.5 Superdelegates
Total: 1,697
Needed: 327.5

Remaining 217 Pledged delegates 267.5 Super delegates
Total: 484.5

This is the most conservative count niliyoona kuna zingine zinaonyesha kuwa he needs 169 delegates. But I am modest and picked the higher number. But I want you to see that 177 from 484 votes is not too much and I think he can easily pick that up by early June.
 
Obama camp estimates:
There are only six contests remaining in the Democratic primary calendar and only 217 pledged delegates left to be awarded. Only 7 percent of the pledged delegates remain on the table. There are 260 remaining undeclared superdelegates, for a total of 477 delegates left to be awarded.

With North Carolina and Indiana complete, Barack Obama only needs 172 total delegates to capture the Democratic nomination. This is only 36% of the total remaining delegates.

Conversely, Senator Clinton needs 326 delegates to reach the Democratic nomination, which represents a startling 68% of the remaining delegates.

Na ndiyo maana Diane Feinstein, supporter mkubwa wa Hillary amesema:
"I, as you know, have great fondness and great respect for Sen. Clinton and I'm very loyal to her," Feinstein said. "Having said that, I'd like to talk with her and [get] her view on the rest of the race and what the strategy is."

Clinton, who eked out a win in Indiana Tuesday night but lost big to front-runner Sen. Barack Obama (Ill.) in North Carolina, has not responded to Feinstein's phone call, the California senator said.

"I think the race is reaching the point now where there are negative dividends from it, in terms of strife within the party," Feinstein said. "I think we need to prevent that as much as we can."
Koba: I agree sasa swali ni kwamba who will deliver the bad news to Hillary? Bill hawezi maana si unajua he was supposed to redeem himself with this, lakini haikufanikiwa, Chelsea maybe, but she's too close. Ninachosikitika ni kwamba Terry Mcauliffe ndo angetakiwa kufanya kazi kama hii maana Hillary anamwamini sana but ndo anazidi kumpotosha na anazidi kuongeza deni! Terrible!
Lakini pia Obama campaign sasa imekuwa more vocal katika kuhakiisha Clinton camp does not keep moving goalposts. I love this part of David Plouffe's letter to superdelegates:
We played by the rules, set by you, the DNC members, and campaigned as hard as we could, in as many places as we could, to acquire delegates. Essentially, the popular vote is not much better as a metric than basing the nominee on which candidate raised more money, has more volunteers, contacted more voters, or is taller.

The Clinton campaign was very clear about their own strategy until the numbers become too ominous for them. They were like a broken record , repeating ad nauseum that this nomination race is about delegates. Now, the word delegate has disappeared from their vocabulary, in an attempt to change the rules and create an alternative reality.
Aisee my favorite lines in red!
 
masanja,
nimekupata mkuu....lakini hizo politics za bottomline ni ushindi tu na ushabiki ulokithiri ndio zinatuletea matatizo hapa, huko bongo na dunia kwa ujumla. seems like kuna kundi kubwa tu la wamarekani limeshastukia na ndilo hilo linalomuunga mkono Obama...in an effort to defeat political machines and hopefully to change washington D.C.....

kama unaweza kupata toleo la May 12 la newsweek au online kwenye www.newsweek.com basi soma makala ya Fareed Zakaria juu ya marekani inavyopoteza influence yake hapa dunia.....moja ya sababu ni hizi politics za redsox against yankees na curse ya babe ruth, hahahahaha!! binafsi sipo comfortable na idea ya kuwa na China and/or India kama superpower(s)!!

huyu jaluo ni hope ya kurudisha heshima ya US

We are on the same page. Possibility ya kuwa na Communist China au India as a next super power..makes me shiver! US is not all that good, but the alternative to it is just worse..

By the way nilijua naamka leo nikikuta mama keshaondoka bado yupo? Mi nadhani inabidi aambiwe na elders wa chama..Bill hawezi ni husband, si unajua..for good or for worse........but kweli inabidi aondoke muanze kumuuza Jaluo vilivyo...

Yes I agree with Fareed Zakaria, harm ya Bush imekuwa kubwa mno....hopefully, politics of division will come to an end (for now)..

For Hillary, all is politics..unafikiri yeye hajui kwamba hawezi shinda? I bet she will drop out before the end of this MONTH! I CAN GUARANTEE YOU!
 
SENATOR MCCAIN WILL BRING A LIFETIME OF EXPERIENCE IN THE WHITE HOUSE, I WILL BRING A LIFE TIME OF EXPERIENCE IN A WHITE HOUSE, SENATOR OBAMA HAS ONLY A SPEECH...

kauli ya aina hii ilinikera sana that time, sijui mama alikuwa anafikiria nini, kumponda obama katika style hii.

kwa sababu kama hoja ni experience basi maana yake ni kwamba, MCCain ana experience kuliko CLinton pia. kwa hiyo kauli hii ina imply kwamba maccain anafaa kuliko wote wawili OBAMA na CLINTON kwa kuwa kawazidi experience wote wawili.

na hii Clip nadhani republican wataitumia kumuumiza Obama iwapo atashinda nomination
.
 
Masanja,
ile cover story ya Zakaria ina mambo mengi sana.....by the way jamaa ni best ktk ku-connect dots kati ya US na the rest of the world, anachambua mambo vizuri sana hata aki-appear kwenye "this week" ya Stefanopolous on ABC!!....ua ananikumbusha, growing up kumsoma Nizar Visram kwenye Mzalendo enzi hizo ndani ya Bongo.

HRC bado yumo lakini kwenye life support, anaisumbua mahakama tu. The rumor has it kwamba, atatoka baada ya WV primaries, kwamba yupo predicted kushinda huko na hivyo basi kutoka na high note, na wakati huohuo kumfanya BO asionekane mdebwedo/embarassed kwa kushindwa primary na mtu ambaye keshajitoa (kwasababu piga ua lazima BO atashindwa WV, it is a tailor made for HRC).....hii theory ina-make sense, lakini HRC hawama muamana, chochote kinaweza kutokea!!.
 
YNIM, hata Kentucky, Mama lazima ashinde na PuertoRico ambayo iko tarehe 3 June
Sasa kwa mtaji huu si atabaki mpaka nomination process iishe?
Anyway, mwacheni jamani Mama, kama she needs space and time to think, mpeni muda. Unajua she was so close and she has really poured her heart into this. It is not an easy decision.

Haya Obama Nation! Mpaka Time wamesalimu amri!
obamanv9.png

Chini wameandika: "Really we're pretty sure this time."
 
Fareed Zakaria nilianza kusoma makala zake tangu nilipoanza kujua kiingereza na kutoka bush....he is a very analytical man. In anyway standing ya USA imepungua sana duniani. I hope dems wana mikakati maalumu ya kuregain..increasingly fading groly.

Hivi what is likely to be reaction ya minorities wengine kama mtu mweusi aki-claim hii prize? maana najua minorities wengi wanajially na wazungu..kwa chuki binafsi dhidi ya waafrika (especially Ponjoros..)..is it likely to cement unity among minorities or itaendeleza division? Na wao wakitafuta chama cha kuwa accomodate?

In anyway, Democrats wakifanikiwa kumpa uraisi Obama..itakuwa ni rewarding tale kwa sababu na weusi wamekuwa consistently royal to them..I guess its a pay back time. ......Nadhani tusishangilie bado wakati ndo tunaingia kipindi cha pili...But we have a cause to smile..big smile!

Lakini wakuu tuache unafiki..lets be real..as a person with African heritage, are you not proud to see BO excelling in USA politics? Iam sure even NYANI and KITILA are!
 
Mimi najali sera kuliko atokako mtu. Tatizo nyinyi mnamshabikia kwa vile baba yake ni Mkenya.
 
Mkuu susuviri, you made my day na hiyo time magazine cover, yaani nimecheka mpaka basi. U know what? (Naomba niwe mshabiki kidogo) Hivi Hilary na kampeni yake wakiiona hiyo wanajisikiaje?
 
Back
Top Bottom