Mkuu Kitila,
Mama Clinton, ni kweli anao uwezo mkubwa sana wa kuwa rais na aliamini kuwa atakuwa, mpaka ilipokuja dhoruba nzito, the Clintons walipokuwa madarakani wameumiza watu wengi sana kutokana na kutokuwa na ethics za kazi na principles,
Matokeo yake wazungu wengi kama kina Kennedy, Kerry, na wengineo walikuwa wanawafuata tu kwa kuogopa ile political machine yao, na the fact kwamba walikuwa na uwezo mkubwa wa kuchangisha hela kwa wagombea wa Democrats, sasa ndio maana wamewakimbia the Clintons kwa sababu Jaluo naye anaweza pia kuchangisha pesa, the matter of fact na Liberal media iko na Jaluo ambayo zamani ilikuwa ni asset kubwa ya the Clintons,
Democrats kimekuwa kikidai kuwa ni chama cha wananchi kwa muda wote wa maisha yake, sasa what an opportunity kwao kumuweka rais mweusi aseyekuwa na record ya uwezo lakini capable wa US ugly politics na anayeweza kuongea wananchi wakasikiliza, asiyekuwa na criminal record, kwa hiyo hapa kuna na guilty pia ya wazungu inayowasuta on inclusiveness,
Ni kweli wazungu wengi wa the Clintons watamsaidia Makeni, lakini baaada ya juzi hata ukiwasikiliza kwa makini Conservatives, utagundua kuwa wameishiwa nguvu, Jaluo ana time on his side na ni weusi wake ndio utakaomuingiza White House, atakuwa rais huku wazungu wakiendelea na ku-run the show, nafikiri ni wakati wa Jaluo kuanza kuwavuta weusi kwenye inner circle yake apunguze wazungu kidogo,
Otherwise huu ni mchezo wa siasa sometimes unaweza ukawa very ugly kwa wasiouelewa!