US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

...i'm goin to dump Chelsea,i cant stand her mama!
 
Jamani in politics hakuna kisichowezekana! Yaani I cant believe kwamba huyu mama kashinda!!

Ama kweli siasa kitu ingine wakuu. Sasa hawa wa opinion polls au walikuwa wanafanya maksudi kwa sababu walikuwa wanaona mama keshabwaga manyanga? na Edwards je aliyesema its now him and Obama? MAMA IS OUT??

Kweli Now I can strongly believe CLINTON is a big POLITICAL ANIMAL!!! He is in his own world when it comes to politics!!

Wakuu siasa kitu kingine! Lets live the game to those who can play it better, hawa pundits..ooh mama anaboa, sijui nini..it doesnt work. Huyu mama anaweza chukua kiti watu tunashangaa hivi hivi!!! EEEEEhhhhh......!!!

Obama kazi anayo, For sure mama amepata MOMENTUM KUBWA SANA!! na hata wale waliokwisha anza kuwithdra support yao..wataanza kumsaidia mama!!

Waungwana ngoja tuone, tuache jazba tuangalie who is in who is out!!! Ila Obama kibarua anacho!!!

Perhaps utabiri wa Nyani utatimia..who knows??
 
Na watu walivyokuwa wamejianda kwamba Obama anashinda NH? wakubwa wa huko mtwambie? what a sudden change? kutoka opinion polls ya 39%-29% ikawa hivi in amargin ya one day?
 
utabiri wa Ngabu hautotimia kwa sababu Ngabu mawazo yake bado anaogopa mtu mweupe AKA mzungu na anaona hawezi chochote mbele ya mweupe....Obama ataenda mbali lakini momentum sasa itashift kwa mama labda akung'ute speech nyingine kama ile ya Iowa victory, lakini akimsikiliza Ngabu amekwisha na itabidi tusubiri miaka mingine 50 wakati Ngabu akiwa anaishi nursing home wakati huo.
 
Kenyan opposition leader Raila Odinga has said he is a cousin of US presidential hopeful Barack Obama.

Mr Odinga told the BBC's The World Today that Senator Obama's father was his maternal uncle.

Mr Obama's father - a Kenyan also called Barack - met and married his American mother when they were students at the university of Hawaii.

Mr Obama has previously been identified as a distant cousin of Vice-President Dick Cheney.

Mr Obama's father came from the same Luo community as Mr Odinga.

The Kenyan leader made the statement in an interview in which he discussed foreign interest in the political turmoil in his country.

He said Mr Obama had on Monday taken time out of campaigning for the New Hampshire primary to call him twice, to express his concern, and to say that he would also be calling Mr Kibaki.

Mr Obama's parents separated when he was two and later divorced.

His mother subsequently married an Indonesian, and the young Barack lived in Jakarta for some years before returning to the United States.

He saw almost nothing of his birth father, who moved back to Kenya and later died in a car crash.

But he entitled his autobiography Dreams from my Father.
 
Icadon acha kuchekesha watu bana.

Back to Koba, From what I see majority ya wanaomsupport Obama ni young generation na wale tunaoweza kusema ni progressive. Ila sio wale old timers (as seen in NH) jiulize kwa nini.

Unajua young generation we tend to look things in a different perspective. Wengi wanaona system ilivyobreak down washington and they want CHANGE. Lakini siyo rahisi hivyo mkuu.

I voted for JK na exactly I wanted change I expected him to get rid of these corrupt folks in my country. Kama ungekuwa Tanzania ungeona euphoria iliyokuwa imetanda nchi nzima kuona Mkapa anaondoka na JK anaingia!! we were so excited!! You know what happened to my vote and the guy.

Niki-turn forty or fifty, akatokea kijana mwingine mwenye mvuto kama Kikwete, I can assure you mwanangu atamsupport kwa sababu atakuwa anataka mabadiliko, lakini mimi having been injured by JK I will have a second thought kumpigia kura mtu kama huyo kwa sababu najua rhetorics is different from reality especially in polityics. Kwa hiyo usishangae wave ya Obama ni ya vijana wa kileo wanaojua mambo, wanaoangalia dunia kwa mapana, na wanatumia technology ya mawasiliano effectively( unfortunately wengi wao hawapigi kura). Lakini real voters they know what is at stake na wanajua kabisa hata kama ungetaka change DC ina 50%-50% Republicans and Democrats...You know better.

Ukiangalia mtu kama Dodd, Biden au Richardson wanaongea unaona kabisa kwamba they know what they are doing, unfortunately hawana pesa kama Obama na mama!

Thats the dark said of this demon we call democracy. we tend to think in terms of paradise, lakini tukirudi kwenye reality tunakijuta opposite kabisa!

Unafikri Obama, Edwards etc wanacriticize special interests..hizo Millions walizokusanya zimetoka mbinguni? hao hawatataka malipo wakiwa ikulu?

Kwa hiyo usishangae mtu kama mama Clinton kushinda (though mi nimeshangaa-kutokana na projections za vyombo vya habari) kwa sababu she is the very Master of the very broken system of Washington ambayo vijana na progressive wanaipiga vita! It is weird lakini what I can assure you siasa sio private sector ndiyo maana unaweza kukuta darasa la saba na form four akina Makamba akishikilia usukani wa nchi!! Mkuu in Africa we know better! So for me I wont be surprised by any outcome of US elections!
 
He asks people to think, feel and do. Use your head, heart and hand.
Wana JF kama kitu ni kizuri tukubali kuwa ni kizuri. Kama ni kibaya pia tuseme ni kibaya. Kwa Obama there is no doubt He is Good. The whites and Blacks has discovered that. Pale ni kichwa bwana sio sura. Kama Viongozi wa Afrika wangekuwa wana vision kama ya Obama saa hizi kenya kusingekuwa na Vita, Zimbabwe kusingekuwa kama kulivyo na kwingineko Africa. Muungwana alisema yeye atawaletea watu maisha Bora, wakati mwenzetu anasema watu watumie kichwa, moyo na mikono kujiletea maisha bora..
 
never Take Voters For Granted.

I think this is "good evil" for Obama...he will now put more focus on his campaing to regain support.

It also makes the race much more interesting...for me at least..!!

I wish him luck on February 5th.
 
Ohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh napumua sasa MAMA BACK ON THE STAGE,MLIDHANI USHINDI WA IOWA NDO UTATOKE NH SAS NI VIPIGO KWENDA MBELE.
 
voted for JK na exactly I wanted change I expected him to get rid of these corrupt folks in my country. Kama ungekuwa Tanzania ungeona euphoria iliyokuwa imetanda nchi nzima kuona Mkapa anaondoka na JK anaingia!! we were so excited!! You know what happened to my vote and the guy.

Niki-turn forty or fifty, akatokea kijana mwingine mwenye mvuto kama Kikwete, I can assure you mwanangu atamsupport kwa sababu atakuwa anataka mabadiliko
Jamani tuache mara moja kumfananisha Jk na Obama! Mwiko! JK hakuwa kijana he is well into his fifties! Obama is 47! Half generation gap! Pili JK didn't have anything to his name kwani alikuwa waziri kwa miaka na miaka with nothing to show for it! Obama has been a 1 term senator and has a lot to show for it - go to Obama.com!
Obama is charismatic but has substance. It's just the mahcinery of Clintons wakidai hana substance, nenda website yake download his papers and plans. Juzijuzi tu tuliambiwa that he is too technical and talking high minded! Watu bana!
 
Na watu walivyokuwa wamejianda kwamba Obama anashinda NH? wakubwa wa huko mtwambie? what a sudden change? kutoka opinion polls ya 39%-29% ikawa hivi in amargin ya one day?

Nadhani Icadon amejibu na article lakini pia naomba kuongeza:
Hawa pollsters huwa wanakubali kwamba wanategemea mtu aseme ukweli amempigia nani kura, also weather huchangia na mengineyo. Mimi naomba kwakumbusha that 1 week ago Obama was trailing hillary by double digit points! Sasa difference imekuwa 2 %. the fact that Obama will lead Hillary by double digits was unrealistic, because more than half of the voters had made up their minds before the Iowa caucus!
Obama kutoshinda NH siyo loss kubwa but rather a comeback fro Hillary for whom it was break or make, mpaka wafadhili walianza kujitoa ndo maana Bill alikuwa anatapatapa on stage Hanover jana! But the race is not over and remember it's a matter of delegates at the convention and Obama is still stron as he was strong 1st in Iowa and very strong 2nd in NH, while HIllary was distant 3rd in Iowa and weak winner in NH!
Election of USA is exciting, you also have to do a bit of Maths!
 
* Hillary Clinton has won 9 New Hampshire delegates (3 statewide, 6 district-level)

* Barack Obama has won 9 New Hampshire delegates (3 statewide, 6 district-level)

* John Edwards has won 4 New Hampshire delegates (2 statewide, 2 district-level)

* 22 Democratic delegates were at stake in the New Hampshire primary

* There are also 8 Democratic "superdelegates" in New Hampshire. Of those, 2 support Clinton and 3 support Obama, according to a CNN survey.
Jamani Obama is not only still in the game but he is ahead overall!
Achana na madam Clinton! Wazawa wamemtuliza baada ya kutoa chozi!
 
Punguzeni mukari, siasa za watu zina akili, haziendi kwa jazba. Msije changanyikiwa bure, at the end of the day hawa wazungu lao moja, subiri tuone!
 
Ukitaka kumjua vema Hillary Clinton unahitaji kujiuliza kwanini Republicans are so scared of her (and for that matter wish Obama wins the final Democrats nominations),and do not underestimate Bill Clinton's political machinery which is readily available for Hillary to use.
 
Ukitaka kumjua vema Hillary Clinton unahitaji kujiuliza kwanini Republicans are so scared of her (and for that matter wish Obama wins the final Democrats nominations),and do not underestimate Bill Clinton's political machinery which is readily available for Hillary to use.

Mimi nakwambia watu wanajitafutia ma-frustration ya bure tu hapa!
 
John Edwards anakwambia zaidi ya 99% ya wamarekani hawajasema.

Ila hata Obama akipata nomination hawezi kupata urais, kama Democrats wa New England wameshindwa kumpa ushindi wa nguvu sitegemei rednecks wa Mississippi na Georgia wampe ushindi.

Na kushinda urais Marekani kushinda ukanda wa maziwa na pwani mbili haitoshi, inabidi kuchukua na majimbo kadhaa ya kati hapo.

Ila tusubiri nominations.
 
Hii article inaweza kuwasaidia kujua kidogo kilichomfanya Clinto ashinde na mwelekeo wa kampeni huko mbele ili kuepuka unncecessary surprises, hasa wale wanaopenda kuangalia mambo with a bit of a critical eye. Halafu chini angalia wanavyofurahia ushindi wa Clinton wakiongozwa na Bill mwenyewe. Hii furaha inaonyesha pamoja na kufurahia ushindi, jinsi wanavyomuona Obama kuwa tishio.
_______________________________________________________________

January 08, 2008
How Clinton Won
Hillary Clinton won last night by putting together the voting coalition that has held Democratic frontrunners in good stead for 75 years. Take a look at these numbers - all of which come from CNN's cross-tabulated exit polls. What you'll see is that Hillary Clinton won many elements of the traditional FDR coalition.


Waliompigia Clinton ni hawa hapa:-Self-identified Democrats made up 54% of the electorate. She won them, 45% to 34%.
-She won voters without a college degree, 43% to 35%.
-She won voters with incomes less than $50,000, 47% to 32%.
-She won voters over the age of 65, 48% to 32%. She also won voters in their 40s (44% to 33%) and their 50s (39% to 30%).
-She won Catholics, 44% to 27%.
-She won urban voters, 43% to 35%. She won suburban voters, 42% to 31%.
-She won voters from union families, 40% to 31%.
-She won voters who said they have been "falling behind" economically, 43% to 33%.
-She won long-time voters, 38% to 33%.

Haya, kwa upande wa Obama ni hawa:
Obama, on the other hand, had a very different electorate - one that has a bit in common with the insurgent candidacies of Gary Hart and Bill Bradley.
-He won Independents, 41% to 31%.
-He won voters with at least a college degree, 39% to 34%.
-He won voters who make more than $50,000, 40% to 35%.
-He won college age voters, 60% to 22%. He split voters in their late 20s, 35% to 37%. He won voters in their 30s, 43% to 36%.
-He split Protestant voters, 36% to 36%.
-He won rural voters, 39% to 34%.
-He split voters from non-union households, 39% to 38%.
-He won voters who said they were "getting ahead" economically, 48% to 31%.
-He won first time voters, 47% to 37%.

An additional ingredient to Clinton's success was a victory among female voters, 46% to 34%(Wanasaikolojia wanajua kuwa wanawake wana tabia ya kuhurumia watu wanaotia huruma hasa ukitoa machozi na kumsuta mtu anayejidai hata kama nikidogo. Siku ile pale Iowa walimuona Obama kama anaringia ushindi vile, wakaamua kumsubiri huko HN).

(Mianaume inapenda sana kwenda kwa mtu ambaye tayari ana nguvu, ndio maana iliendelea kumpigia kura Obama) Obama won male voters, 40% to 29%. But female voters outvoted male voters, 57% to 43%.
As I said, Clinton's is the type of electorate that has delivered Democrats the nomination again and again. These results remind me a great deal of the electorate that delivered Mondale the nomination in 1984 - noting, of course, the irony that Clinton won New Hampshire with this bloc and Mondale did not.
This suggests the model for Clinton moving forward: win by appealing to the traditional Democratic electorate. If she must fight Obama state-by-state, she would do well to reformulate this "Mondale Model" again and again.* This bloc of voters is more sizeable in other states.
Of course, what we do not yet know is whether Obama will be able to win one of the most loyal and potent parts of the traditional Democratic coalition, black voters. My intuition is that black voters will be absolutely critical to the prospects of Obama and Clinton.
Some pundits will probably reference Saturday's debate or Clinton's near-crying moment as reasons she surged late. The exit polling does not back this up. Obama won voters who decided sometime between a month and three days ago. And the two split voters who decided today - 39% to Clinton, 36% to Obama. Clinton dominated among voters who said they decided earlier than a month ago, 48% to 31%.
(Inaonekana nguvu ya Obama ipo kwa new comers kwenye democrats kuliko wakongwe, hii ina maana kwamba ujumbe wa change hauwaingii sana wakongwe, kuna haja ya Obama kuanza kuonyesha kidogo mafanikio yake huko nyuma-ili aunganishe nguvu ya ujumbe wa change and experience-change pekee haitamsaidia kama vile experience ambayo Hillary amegundua hailipi ndio maana sasa hivi ana-combine zote)This supports the idea that Clinton won by mobilizing the traditional Democratic coalition that is demographically inclined to her. You don't just win elections by persuading people you're the best candidate. You win elections by getting those people out to the polls. This appears to be what Clinton did. Accordingly - the implication is that the polls were wrong not because of last-minute shifts. They were wrong because they underestimated Clinton's ability to draw out her base.
Final point. Clinton did something last night that most successful frontrunners have managed to do: use a reliably partisan voting coalition as a counterbalance to an opponent's momentum.
* - The idea of a "Mondale Model" should be taken only as reference to this particular primary strategy - using traditional Democratic groups to hold back an insurgent who appeals to upscale Dems. As Mondale beat Hart, so perhaps Clinton has found a way to beat Obama. I'm not making any arguments about the general election. I certainly am not predicting a 49-state sweep for the GOP should Clinton win the nomination!
 
John Edwards anakwambia zaidi ya 99% ya wamarekani hawajasema.

Ila hata Obama akipata nomination hawezi kupata urais, kama Democrats wa New England wameshindwa kumpa ushindi wa nguvu sitegemei rednecks wa Mississippi na Georgia wampe ushindi.

Na kushinda urais Marekani kushinda ukanda wa maziwa na pwani mbili haitoshi, inabidi kuchukua na majimbo kadhaa ya kati hapo.Ila tusubiri nominations.

That's what I've been saying here all along. You've got to be competitive everywhere. You've got to win some in the south, especially for a Democratic candidate. And to win it all here you've got to be somewhat redneckish...
 
Back
Top Bottom