US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

word is clinton ameshinda(AP)
Naona lead imekuwa 7k votes Comeback Kid(girl):2
Its a wrap naona Obama amechukua stage
 
Mchuano ulikuwa mzito. kwa upande wangu bado Obama ni tishio kwa Clinton. Lets next...... Edward kwa nini anaharibu nguvu zake!!!!angeishia tu hapa au akaungana na Obama kwenye campaign bus. Lakini Clinton wacha ashinde maana jana chozi lilimtoka kwa hiyo nafikiri wazawa wamelifikiria hilo.
 
Unajua Obama anatia moyo maana ingawa amekuwa wa pili but he is still able to inspire us! Nilichofurahi ni kwamba amepata kura za delegates wengi in fact difference ni delegate moja tu! Hawa delegates ndiyo wanaopiga kura kwenye Democrat national Convention! He can clinch the nomination!
Hillary fought a good battle, Obama has to go back to the drawing board and tweak his strategy!
 
Yes We Can

Aisee one of th emost inspiring speeches in 21st century!
It will go down in history as the 'Yes We can" speech!
Great delivery!
Mi nawambia Jaluo Jeuri huyo Obama, hawezi kukubali kushindwa! Atashinda tu!
 
Ebanae I'm happy with the results. Ngoma hiko kwenye Super Tuesday sasa.John Edwards baada ya South Carolina anachomoa.
 
Another great speech!! Jaluo Jeuri,,Ngoja tumsikilize HRC
 
Ebanae I'm happy with the results. Ngoma hiko kwenye Super Tuesday sasa.John Edwards baada ya South Carolina anachomoa.

Nimesikia kwamba Edwards ameinvest pesa kibao South carolina kwa hiyo hawezi kujitoa before!
Unajua mimi nimefurahi Obama hajashinda maana angejisahau sana, like this he's best when he's the underdog! It's always better to be underestimated!
 
Amezaliwa kule..ila results za IA na NH zimeprove something....(kuwa jamaa wako willing kulook beyond the color/colour).
So Richardson na Kucinich wataendelea au watabwaga manyanga?
Naona kwa GOP ngoma itakuwa Mitt,McCain na Giuliani(Florida ikiback fire naye sijui kama atakuwa na pakushikilia) Huckabee baada ya South Carolina sijui kama ataendelea.
 
Yes we Can! the new slogan from Barack Obama speech after matokeo ya NH! Ngoma droo!
 
Susuviri hapo niko pamoja na wewe hapo,its good obama hajashinda nataka apate michubuko kwanza kabla ya kushinda na awe more human ili Republican wakija ajue anatakiwa kufanya nini....mama anaongea lakini anaboa tuu,watu wengi najua leo usingizi sio mzuri maana kwa kweli huyu mama wengi cant stand her
 
Cheki HRC anavyotafuta kura za akina Biden na Dodd! Eti amewapongeza before Edwards na Obama! Mshamba huyo!
She's totally uninsipiring! Hapati kitu!
 
Susuviri hapo niko pamoja na wewe hapo,its good obama hajashinda nataka apate michubuko kwanza kabla ya kushinda na awe more human ili Republican wakija ajue anatakiwa kufanya nini....mama anaongea lakini anaboa tuu,watu wengi najua leo usingizi sio mzuri maana kwa kweli huyu mama wengi cant stand her

Ninachopenda ni kwamba Obama kambana sana Hilary maana hata ushindi wake ni wa 2% siyo kubwa. But it is a lesson for Obama! He conceeded gracefully!
Lakini moto umewaka! Republicans wameanza kufine tune their emails na badala ya kumcriticize Hillary wameanza kutafuta kasoro za Obama lakini hawana kitu!
hata mimi simpendi yule mama Hilary maana ni mnafiki and she's a cold hearted b****, hakuna mjadala! Also her and hubby Bill are already hostage to special interest groups and lobbyists!
 
Hahahahaha....usiseme hawana...GOP ni wazuri sana ktk kupaka watu matope. Halafu kwa Obama hawana hata haja ya kwenda negative. Nawaambia Wamarekani weupe hawako tayari kuachia taasisi ya uraisi kwa mtu rangi ingine. Should Obama be the nominee (which I doubt)..it's a wrap for the Dems...Hebu nitajieni states mnazodhani atashinda popular vote...
 
And somebody explain this to me...once again the pundits had it wrong. Exit polls showed that Obama would win by 39% to 34or35%. Just yesterday Obama had double digit leads in the opinion polls...what happened in the last 24hrs that reversed things...or does this show once again how unreliable exit and opinion polls are?
 
"Yes, we can heal this nation. Yes, we can repair this world. Yes, we can, and so tomorrow as we take the campaign south and west … we will remember that there is something happening in America, that we are not as divided as our politics suggest, that we are one people and one nation and together we will begin the next great chapter in the story with three words that ring from sea to shining sea - yes, we can." Baraka Obama! Barack Obama or Mbaraka Obama!
 
And somebody explain this to me...once again the pundits had it wrong. Exit polls showed that Obama would win by 39% to 34or35%. Just yesterday Obama had double digit leads in the opinion polls...what happened in the last 24hrs that reversed things...or does this show once again how unreliable exit and opinion polls are?

Jibu lako hilo hapo chini

Roger Simon: Inside New Hampshire
By: Roger Simon
January 8, 2008 11:27 PM EST

The biggest losers

The big loser tonight? That’s easy: the pollsters.

Hardly any of the polls indicated a close race between Hillary Clinton and Barack Obama. Yet that is what it turned out to be.

When they get it wrong, the pollsters always say they only do “snapshots in time” and that their polls are not supposed to predict winners and losers. Funny how they never say that when they get it right. When they get it right, they are geniuses who can see the future.

But the politicians always say it and tonight proved it: “The only poll that counts is the one that the voters deliver on Election Night.”

Hillary's mention of King enrages Obama camp

A senior Obama staffer just told me the Barack Obama campaign is livid over Hillary Clinton’s recent comment about Martin Luther King Jr. and what was apparently her attempt to point out the difference between dreaming and accomplishment.

“Dr. King’s dream began to be realized when President Johnson passed the Civil Rights Act,” Clinton said in the TV interview Monday.

“It took a president to get it done.”

Some in the Obama campaign are now outraged at what they take to be a denigration of King’s accomplishments and the sacrifices made during his era.

“Go ask black people what they think of that statement,” the Obama staffer told me.
 
Yes we Can! the new slogan from Barack Obama speech after matokeo ya NH! Ngoma droo!

Hiyo ilikuwa win slogan ya Duval Patrick..."together we can."
Last minutes mudslinging ya Clinton machine imeshinda leo. Good news ni kwamba, Obama ka-survive to fight another day.
 
Back
Top Bottom