Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Vipi swaumu inaenda poa= majirani
Vipi swaumu inaenda poa= majirani
sasa kukosea si jambo la kawaida tu= majirani
Ahsante= majirani
Anapigwa urusi HahahaaaaNani ana pigwa 😂😂
Lala endelea kuota hakuna nchi yoyote ya ulaya inataka kupigana vita Kwa kipindi kirefu ivyoo watarudi wenyewe kwenye meza ya mazungumzo tu na watamuombaUjerumani ilipigwa kwa miaka sita hadi ikagawanyika mara mbili. Mwaka wa kwanza na wa pili walikuwa wanashinda wao, Urusi haijavuna ilichopanda tuipe miaka angalau miwili. Vita itashinda, consequences itapata
Tatizo ana mihemkoZelensky, alihitaji kula na kipofu tu, sasa anaenda kua rais wa mwisho kuitawala Ukraine nzima... maana kutakua na nchi tatu pale.
Huu ujumbe ushamfikia Sweden na Finland,Halaf watakuja wale pro fulani fulani watakwambia RUSSIA wanapigwa ama wamepigwa.
Yaani kwampaka hapa hii OP imeishafanikiwa kwa %90 maana sioni hio kura ikienda kinyume na matakwa ya KREMLIN DUMA na PUT IN.
Nahilo eneo sijalifatilia kibinafsi ila nasikia nieneo lakimkakati sijajua kwenye angle gani?
Sema hii OP itaongeza sana umaarufu wa RUSSIA hapa DUNIANI jamaa kaichapa UKRAINE mbele ya wanaojiona ma GIANT tena mbaya zaidi waliochapwa wapo ndani ya ULAYA nawalikua wanaandaliwa kwamalengo fulani fulani dhidi ya RUSSIA ila ilipofikia kuchapwa jamaa zake wamemkwepa kama hawamuoni.
RUSSIA inatakiwa iendelee kutoa doze kisawa sawa mpaka kieleweke. Nakwahiki kinachoendelea UKRAINE wale wanaongojea FINI na SWED kujiunga na NATO mtangojea sana.
RUSSIA sio ZIMBABWE
Show imeisha mzee[emoji4]Hicho kitu hakipo na hakitatokea endeleeni kuota lakini muda ndiyo utawapa majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
don't it easy, russia alitegwa aingie ndani sasa ulizia mkon'goto anaopata ataunda nchi saa ngapiSerikali ya shirikisho la Urusi inaandaa kura ya maoni itakayolifanya jimbo la Kherson kuwa nchi kamili
Mpaka sasa kura hiyo inatarajiwa kuungwa mkono na wapiga kura zaidi ya 95% kutokana na ukweli kuwa wakatoliki-waukraine wa eneo hilo kwa sasa washasepa zao.
Endapo kura hiyo ikienda kama ilivyopangwa basi Kherson itakuwa nchi ya tatu kufanikiwa kuundwa ndani ya Ukraine
Uhuru wa hili jimbo utawezesha kupatikana kwa daraja la ardhini kwenda Crimea kitu ambacho Putin anakihitaji ili kulinda mabomba ya mafuta na logistics routes dhidi ya kitisho cha NATO.
Mwez ulopita vita inaendelea Crimea wamefanya sherehe za Uhuru,Bado iko UKRAINE chini ya Zelensky, Russia dhaifu mnoooo haina ubavu wa kuichukua crimea.
Ha ha ha ....Mkuu acha ubishi usio na maana yoyote Ile, Russia haina uwezo wa kuichukua crimea.Vifaa vya kijeshi vyenyewe inasaidiwa na China.
Bora somalia wanaeneo yeye anataka Ukraine hata eneo watakosa kabsa watabaki na mikoa mitatuAu kwa lugha rahisi tunaweza kusema lengo hasa la mrusi ni kuifanya Ukraine kuwa Somalia ya Ulaya
over
Kichapo kiendelee[emoji4]UKRAINE anapelekewa moto saanaaa ila hizo habari nichache sana tunazozipata miongoni mwa nyingi zilizopo
Anatakiwa aendeleee kula kichapo ili ajue siku nyengine kama kuna wakubwa!!!!!
Angekuwa anapigwa angeweza kuunda nchi akiliyako ipo thakoni!?Kwamba anapigwa halafu anaundaje nchi ndani ya nchi!?
Majamaa wananunua gesi na mafuta kimya kimya kwa rubo[emoji4]Unaambiwa mrusi bado anakunja $800m per day kupitia mauzo ya gas & oil na ukizingatia bei iko juu kwa sasa
Huu mchezo kauanza USA kwa kuivuruga UMOJA WA KISOVIETIipo siku urusi itafanywa hv hv , Putin anawafundisha maadui nn.cha kumfanya siku za usoni
Hahaha! mkuu ni kweli?Mwez ulopita vita inaendelea Crimea wamefanya sherehe za Uhuru,
Putin mgeni rasmi kahutubia kabisa.
Wee unaongea Nini mkuu?[emoji4]
Vilaza bana yani wew unajua kuliko intelijensia ya urusi wew upo mwembe yanga unajua kuliko Putin brain washed mkubwa weweWatu wabishi sana, tunawaambia kila siku hawaelewi!
Huyu Mrusi anaviziwa, akija kushtuka atakuta majeshi ya NATO yapo Moscow, hapo ndio watajua kuwa Amerika sio watu wa kuwachezea.
Weh ngoja tu!