Urusi yaunda nchi ya tatu ndani ya Ukraine

Urusi yaunda nchi ya tatu ndani ya Ukraine

Nchi za Magharibi wamesena kuwa Putin thinks he is winning the war!!!

Angalia hilo neno "Thinks" kama akili.mtu anazo anaelewa
Watu wabishi sana, tunawaambia kila siku hawaelewi!
Huyu Mrusi anaviziwa, akija kushtuka atakuta majeshi ya NATO yapo Moscow, hapo ndio watajua kuwa Amerika sio watu wa kuwachezea.
Weh ngoja tu!
 
Mkuu T14 Armata umekimbilia huku njoo kule kwenye uzi wetu ....bhana ....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Kule kuna ubishi usio wa msingi na siwezi kaa uzi mmoja tu ambao 90% yake ni taarifa. Sasa huo muda si nautumia kupata taarifa media nyingine na kufanya mijadala.

Sikwenda kule kupata taarifa, nilienda kuchangia maoni ambayo si lazima niwepo kila muda. Mwanzoni nilitelekeza nyuzi nyingine nikijua wiki mbili tu wanamaliza, sasa leo siku ya 55 sijui na hawana dalili
 
ipo siku urusi itafanywa hv hv , Putin anawafundisha maadui nn.cha kumfanya siku za usoni
 
Hivi vile kikwazo vinaendelea? Mbona kama jamaa hajui kama kawekewa vikwazo? Au itakuwa hali tete huko Urusi ila hatuna tu taarifa za ndani ya Urusi kuona jinsi maisha ya raia wa Urusi wanavyotaabika Kwa vikwazo.
Taarifa zipo navikwazo tayar vishaanza kujibu
Ila sio kwa level waliotegemea wawekaji mpaka wao wenyewe wanashangaa maana vyengine wamemuekea jamaa ila wao ndio wanaumia ama ndio vina waumiza
 
ipo siku urusi itafanywa hv hv , Putin anawafundisha maadui nn.cha kumfanya siku za usoni
Ramli chonganishi hii namaneno yakukata tamaa
PUT IN alisema hakuna DUNIA bila RUSSIA yaani kitendo cha kufutwa ama kuipiga RUSSIA basi ujue yatatokea mabadiliko mengi sana hapo ULAYA na DUNIANI
Maana kuna mataifa hutakaa uyasikie tena mpaka QIAMA nakuna mataifa mengine mapya utayasikia
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Hayo majimbo hata yakijitenga hayatakaaa yatawalike n ngumu Sana kutakuwa na Vita visivoisha Azov hawawez kukubali hilo jambo hiyo donboss tu yenyewe tokea 2014 bado hakijaeleweka vizur Putin n binadamu tu
 
baada ya kuvamiwa ulitaka atangaze kushindwa , ndo hoja hiyo?
Kulikua na room ya negotiations na Russia kabla ya uvamizi. Hili swala limeanza toka 2014, mgogoro ulifukuta chini kwa chini.. Russia alionya juu ya ukiukaji wa mkataba wa Minsk, Russia aliomba jumuia za kimataifa kuingilia kati juu ya uwezekano wa Nato kujitanua kuelekea mashariki. Jaribu kusoma bila ushabiki, utajua kitu.
 
Hayo majimbo hata yakijitenga hayatakaaa yatawalike n ngumu Sana kutakuwa na Vita visivoisha Azov hawawez kukubali hilo jambo hiyo donboss tu yenyewe tokea 2014 bado hakijaeleweka vizur Putin n binadamu tu
Lakini lengo la RUSSIA sio kutawalika kwa hayo majimbo
Lengo lao wahakikishe UKRAINE haiwi tena imara kabla ya hii OP inayoendele endelea
Pia ikibidi UKRAINE igeuka kama SYRIA au IRAQ au SOMALIA ndani ya ULAYA yaani isiwe tena imara kuwe na vistate state vya hapa na pale
Kiufupi suala la UKRAINE limekwisha nyie endeleeni nahizo ramli zenu chonganishi
 
Russia inachotaka ni kuchukua maeneo yote ya Kusini na Mashariki ya Ukraine! Maeneo yote ya kusini yanapatikana Bahari Nyeusi ambayo ni muhimu kwa Russia.
 
Kule kuna ubishi usio wa msingi na siwezi kaa uzi mmoja tu ambao 90% yake ni taarifa. Sasa huo muda si nautumia kupata taarifa media nyingine na kufanya mijadala.

Sikwenda kule kupata taarifa, nilienda kuchangia maoni ambayo si lazima niwepo kila muda. Mwanzoni nilitelekeza nyuzi nyingine nikijua wiki mbili tu wanamaliza, sasa leo siku ya 55 sijui na hawana dalili
Asa bwana amata ni vita gani hivo vinapiganwa kwa wiki 2 afu vimeisha na ukiangalia nato wanapigana na russia kwa mgongo wa ukraine ...we unaona hivo vita vitaisha leo kweli .....ingekuwa ukraine kasimama peke ake sawa lakini kuna watu wanamwaga silaha kwa ukraine asa usitegemee vitaisha leo hiyo vita labda russia apige NUKE'S ndo vita vitaisha kama unavotaka .....na hilo la nukes haliwezi tokea

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom