Urusi yaunda nchi ya tatu ndani ya Ukraine

Urusi yaunda nchi ya tatu ndani ya Ukraine

Mkuu acha ubishi usio na maana yoyote Ile, Russia haina uwezo wa kuichukua crimea.Vifaa vya kijeshi vyenyewe inasaidiwa na China.
Hapa ndo umedhibirisha kiwango chako cha kufikiri. Yaani nchi ya pili Duniani kwa uuzaji wa Silaha iwe inasadiwa silaha. Hata kama inapata silaha kwingineko basi si kwa sababu hawana silaha. Bali aina ya silaha maalum.
 
Halaf watakuja wale pro fulani fulani watakwambia RUSSIA wanapigwa ama wamepigwa.

Yaani kwampaka hapa hii OP imeishafanikiwa kwa %90 maana sioni hio kura ikienda kinyume na matakwa ya KREMLIN DUMA na PUT IN.

Nahilo eneo sijalifatilia kibinafsi ila nasikia nieneo lakimkakati sijajua kwenye angle gani?

Sema hii OP itaongeza sana umaarufu wa RUSSIA hapa DUNIANI jamaa kaichapa UKRAINE mbele ya wanaojiona ma GIANT tena mbaya zaidi waliochapwa wapo ndani ya ULAYA nawalikua wanaandaliwa kwamalengo fulani fulani dhidi ya RUSSIA ila ilipofikia kuchapwa jamaa zake wamemkwepa kama hawamuoni.

RUSSIA inatakiwa iendelee kutoa doze kisawa sawa mpaka kieleweke. Nakwahiki kinachoendelea UKRAINE wale wanaongojea FINI na SWED kujiunga na NATO mtangojea sana.

RUSSIA sio ZIMBABWE
Hivi vile kikwazo vinaendelea? Mbona kama jamaa hajui kama kawekewa vikwazo? Au itakuwa hali tete huko Urusi ila hatuna tu taarifa za ndani ya Urusi kuona jinsi maisha ya raia wa Urusi wanavyotaabika Kwa vikwazo.
 
Hivi vile kikwazo vinaendelea? Mbona kama jamaa hajui kama kawekewa vikwazo? Au itakuwa hali tete huko Urusi ila hatuna tu taarifa za ndani ya Urusi kuona jinsi maisha ya raia wa Urusi wanavyotaabika Kwa vikwazo.
Unaambiwa mrusi bado anakunja $800m per day kupitia mauzo ya gas & oil na ukizingatia bei iko juu kwa sasa
 
humu jf.nimegundua unaweza ukawa unabishana na darasa la Saba bila kujua!! yaani urusi anunue military weapons China!!!!? duuuuh!!!
Niliacha kubishana baada ya kugundua shemeji yangu wanatukanana na mke wangu bila wao kujua. I'd ya mke wangu anaijua na yuko na Putin. I'd ya shemeji niliijua siku moja baada ya kugundua ni NATO. Nilimtuma mbali wakati nimemwomba nitumie tigo(simu) yake alipotoka tu ghafla nikaingia jf na kujua I'd yake.

Mpaka sasa wao hawajuani wanaendeleza mipasho nani nimeuchuna tu.


Kumbuka shemeji anakaa kwangu na mlipia are.
Ajabu kweli.

Tunamulikia watoto ila wao hawaelewi .

Viva Russia
 
Serikali ya shirikisho la Urusi inaandaa kura ya maoni itakayolifanya jimbo la Kherson kuwa nchi kamili

Mpaka sasa kura hiyo inatarajiwa kuungwa mkono na wapigakura zaidi ya 95% kutokana na ukweli kuwa wakatoliki-waukraine wa eneo hilo kwa sasa washasepa zao

Endapo kura hiyo ikienda kama ilivyopangwa basi Kherson itakuwa nchi ya tatu kufanikiwa kuundwa ndani ya Ukraine

Uhuru wa hili jimbo utawezesha kupatikana kwa daraja la ardhini kwenda Crimea kitu ambacho Putin anakihitaji ili kulinda mabomba ya mafuta na logistics routes dhidi ya kitisho cha NATO
wame anza mchakato leo!!
 
Anachofanya Urusi ni kuifanya ulaya weak sana maeneo yote strategically kwa ulaya yaliyopo ukraine urusi anahakikisha ni huru. Wasiojua ni kwamba kherson ni moja ya maeneo yanayozalisha ngano nyingi sana ukraine na ni ngano inayotegemewa na ulaya kwa kiwango kikubwa sana. Narudia RUSSIA SIO ZIMBABWE NA PUTIN SIO MUGABE
imeisha iyo washa teka pengine wakaongeza na majimbo mangine
 
Back
Top Bottom