Mungu wangu Russia anasaidiwa vifaa na Russia. Njooni jamani mtoto alozaliwa 2015 anawangaMkuu acha ubishi usio na maana yoyote Ile, Russia haina uwezo wa kuichukua crimea.Vifaa vya kijeshi vyenyewe inasaidiwa na China.
Mungu wangu Russia anasaidiwa vifaa na Russia. Njooni jamani mtoto alozaliwa 2015 anawangaMkuu acha ubishi usio na maana yoyote Ile, Russia haina uwezo wa kuichukua crimea.Vifaa vya kijeshi vyenyewe inasaidiwa na China.
Ha ha ha fuatilia kuhusu Chinese J11 Nini halafu fuatilia kuhusu Chinese J16 na Chinese F 7 Nini.. happy utapata vingi Sana kuhusu majibu yako hayoPropaganda za Russia hizo mkuu,hawana uwezo wa kutengeneza silaha zaidi ya kununua from China.Niamini Mimi kiongozi
[emoji16][emoji16][emoji16] niamini mimi kiongoziMungu wangu Russia anasaidiwa vifaa na Russia. Njooni jamani mtoto alozaliwa 2015 anawanga
UKRAINE imeshavuka mpk wa Russia inaenda kuiteka Moscow.Putin anapiga simu kwa viongozi wa dunia kuomba Zelensky asimfanyie hivyo.We jamaa unaandika hivi ukiwa dunia ipi Crimea ya Sasa inaelekea kuwa ya vituo vya kijeshi vya Russia tu. Hata raia wanahama wenyewe kuepuka kuwa karibu na makambi hayo ya kirusi.
Russia wanajeshi wake waliishiwa hata chakula,Ni maskini mnooooo.Ha ha ha fuatilia kuhusu Chinese J11 Nini halafu fuatilia kuhusu Chinese J16 na Chinese F 7 Nini.. happy utapata vingi Sana kuhusu majibu yako hayo
Wana pelekewa moto kweli kweli mambo yame badilika baharini hakupitiki angani hakupitiki!Nasikia tayari jamaa washaihama UKRAINE
Waache wafe tu MKUUWana pelekewa moto kweli kweli mambo yame badilika baharini hakupitiki angani hakupitiki!
waonee huruma 😂Waache wafe tu MKUU
Na hawatakuja kumwelewa mkuuHiyo ndo phase two ambao nchi za magharibi hazijamuelewa Putin......
Narudia tena waache wafewaonee huruma [emoji23]
Anapiga au anapigaKwamba anapigwa halafu anaundaje nchi ndani ya nchi!?
Bado iko UKRAINE chini ya Zelensky, Russia dhaifu mnoooo haina ubavu wa kuichukua crimea.
Akuamini wewe kwani uliwahi kufanya kazi kwenye ghala la silaha la China?Propaganda za Russia hizo mkuu,hawana uwezo wa kutengeneza silaha zaidi ya kununua from China.Niamini Mimi kiongozi
Nchi za magharibi waendelee kuleta silaha Ukraine, mambo ya Putin kuthinks sio kazi yaoNchi za Magharibi wamesena kuwa Putin thinks he is winning the war!!!
Angalia hilo neno "Thinks" kama akili.mtu anazo anaelewa
Wewe uko sawa kweli?Bado iko UKRAINE chini ya Zelensky, Russia dhaifu mnoooo haina ubavu wa kuichukua crimea.
Wanasema Niko sawa,natuma salamu kupitia CRDB.Wewe uko sawa kweli?
Yaani utangaze nchi kwa vijiji 42 vya Mariupol ambavyo kwa muda huu Ukraine wako busy kuokoa raia na wakimaliza tu wananchi kuokolewa Stinger kama kawaida., Putini ameuwa akili za watu wengi ambao hawana akili kama yeyeSerikali ya shirikisho la Urusi inaandaa kura ya maoni itakayolifanya jimbo la Kherson kuwa nchi kamili
Mpaka sasa kura hiyo inatarajiwa kuungwa mkono na wapiga kura zaidi ya 95% kutokana na ukweli kuwa wakatoliki-waukraine wa eneo hilo kwa sasa washasepa zao.
Endapo kura hiyo ikienda kama ilivyopangwa basi Kherson itakuwa nchi ya tatu kufanikiwa kuundwa ndani ya Ukraine
Uhuru wa hili jimbo utawezesha kupatikana kwa daraja la ardhini kwenda Crimea kitu ambacho Putin anakihitaji ili kulinda mabomba ya mafuta na logistics routes dhidi ya kitisho cha NATO.
Mungu mbariki Putin.Mungu Ibariki Urusi