Halaf watakuja wale pro fulani fulani watakwambia RUSSIA wanapigwa ama wamepigwa
Yaani kwampaka hapa hii OP imeishafanikiwa kwa %90 maana sioni hio kura ikienda kinyume na matakwa ya KREMLIN DUMA na PUT IN
Nahilo eneo sijalifatilia kibinafsi ila nasikia nieneo lakimkakati sijajua kwenye angle gani
Sema hii OP itaongeza sana umaarufu wa RUSSIA hapa DUNIANI jamaa kaichapa UKRAINE mbele ya wanaojiona ma GIANT tena mbaya zaidi waliochapwa wapo ndani ya ULAYA nawalikua wanaandaliwa kwamalengo fulani fulani dhidi ya RUSSIA ila ilipofikia kuchapwa jamaa zake wamemkwepa kama hawamuoni
RUSSIA inatakiwa iendelee kutoa doze kisawa sawa mpaka kieleweke
Nakwahiki kinachoendelea UKRAINE wale wanaongojea FINI na SWED kujiunga na NATO mtangojea sanaaaaa
RUSSIA sio ZIMBABWE