Urusi yaunda nchi ya tatu ndani ya Ukraine

Urusi yaunda nchi ya tatu ndani ya Ukraine

Kule kuna ubishi usio wa msingi na siwezi kaa uzi mmoja tu ambao 90% yake ni taarifa. Sasa huo muda si nautumia kupata taarifa media nyingine na kufanya mijadala.

Sikwenda kule kupata taarifa, nilienda kuchangia maoni ambayo si lazima niwepo kila muda. Mwanzoni nilitelekeza nyuzi nyingine nikijua wiki mbili tu wanamaliza, sasa leo siku ya 55 sijui na hawana dalili
Mkuu wewe ni wanted kule tunataka utueleza kwanini mlisema urusi inaishiwa chakula baada ya siku zijazo ilihari inatoa kichapo na kugawa chakula
 
Kamanda wa majeshi ya Ukraine yaliyojichimbia kwenye mahandaki ya kiwanda cha chuma amemuomba papa Francis wa Vaticana asaidie kuokoa maisha yao.
Amesikika kwenye vidio akilalamika kuwa wamebakiwa na masaa machache tu huku akitilia maanani nyongeza ya muda wa kujisalimisha uliotolewa na Urusi huku na wao wakiwa wameishiwa na chakula na silaha na vile vile kuzingirwa kwenye njia zote za kutokea.
Huyo kamanda zaidi ya kuomba msaada kwa papa ili waokolewe amewaomba viongozi wote duniani kusaidia kuondoka salama eneo hilo hata ikiwa watapelekwa nchi nyengine ya mbali.
ttps://www.bbc.com/news/live/world-europe-61157670
 
Asijali huyo kamanda Denis soon UKRAINE itaiteka Moscow maana inakaribia kuizunguka na sababu kuu Ni ukosefu wa chakula kwa wanajeshi wa Russia na yeye atakua ni mkuu wa jeshi ya UKRAINE.

SALVA UKRAINE SALVA UKRAINE
 
Na urusi anapigika kweliii na ubwabwa ukata baada ya siku Tatu zijazo
 
Huu mchezo kauanza USA kwa kuivuruga UMOJA WA KISOVIETI

hizo Poland,Ukraine, Finland,sweden, Belarus, Hungary,cosovo n.k zote zilikua ndio urusi ya Zamani.

Marekani kawafarakanisha mpk wametangana kabisa na urusi

Na next move ilikua Ni Ukraine ili azidi kuivuruga zaidi urusi.

Anachokifannya sasa urusi Ni kuspare damage ilosababishwa na USA na kuyarudisha majimbo yake nyumban[emoji4]
Hela hela hela Hana izoooo
 
Asa bwana amata ni vita gani hivo vinapiganwa kwa wiki 2 afu vimeisha na ukiangalia nato wanapigana na russia kwa mgongo wa ukraine ...we unaona hivo vita vitaisha leo kweli .....ingekuwa ukraine kasimama peke ake sawa lakini kuna watu wanamwaga silaha kwa ukraine asa usitegemee vitaisha leo hiyo vita labda russia apige NUKE'S ndo vita vitaisha kama unavotaka .....na hilo la nukes haliwezi tokea

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Hata UKRAINE angekua mwenyewe sio kwa siku hizo mpaka mwezi ama miwili au mitatu
Tuwarejeshee wao maswali haya haya NATO wakati wanazitwanga IRAQ kwaupande mmoja na LIBYA kwaupande mwengine
Hawa watu waliekewa No fly zone pia walipigwa namanchi kibao pia hawakua na msaada tokea popote pale ila bado hawakutumia chini ya miezi miwili mpaka kuwatoa
Kuna watu wanaandika hizo koment halaf unawaangalia unabakia kucheka tu nakushangaaa!!
 
Yani Russia ni kama wale masela waliowai kuwa masheikh enzi zao, wakiona sherehe za kiislam wanaanza kusema tupeni ubwabwa na juzuu.
 
Back
Top Bottom