Enkaly
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 307
- 428
sasa Cossovo na Mariupol zinatofauti gani?Yaani utangaze nchi kwa vijiji 42 vya Mariupol ambavyo kwa muda huu Ukraine wako busy kuokoa raia na wakimaliza tu wananchi kuokolewa Stinger kama kawaida., Putini ameuwa akili za watu wengi ambao hawana akili kama yeye
Linganisha akili yako wewe na ya Putin nani yake iko sawa?
Uchumi wako wenyewe tu umekushinda na rasilimali unazo ndio uje ujilinganishe na Putin wakati wenzio wanamuhara.
Acha dharau brother, Putin ni mashine nyingine.