Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

Unajifariji wewe taahira unafikiri huko hatupajui! Duka gani la jumla huko? Endeleeni na ujuaji na upumbavu ndo mnaouweza!
Hili kumbe zuzu navyokwambia hapa hakuna mwananchi bukoba anafata bidhaa muhimu mjini zote zipo vijijini yaani kuna ma hardware na kila kitu!! Bukoba ni hbr nyingine nyie pambana na Samia ila nae kwa akili hizi hammuwezi
 
KAMA KIONGOZI WA SERIKALI, UKISHASEMA ^KULA,^ HATA KAMA NI MUDA WA KUPANDA MITI, WATUMISHI NA VIONGOZI WAKO WATAJUA UNAWAAGIZA ^WALE PESA^ ZA UMMA!!!

Msimlishe Bi Mikopo maana tofauti na ile aliyoikusudia. Hivi hamjajiuliza bado kwa nini FREQUENCY ya mikopo katika serikali yake imekuwa kubwa sana?
 
Umekariri!? Sijawahi kuvaa fulani wala kofia ya chama chochote nchini zaidi ya kupiga kura siku ya uchaguzi. Hivi Samia alikuwa anahonga watu tshirt na sukari!? Sikuwahi kujua hili.
Bx wewe upo burundi si tz maana huo ndo mpango mzima na ccm tyr wanachapisha tshirt za 2025 sijui wtz hamnaga nguo!!?
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Wewe usitetee uozo alisikika kabisa alixungumzia rushwa na akaagiza wasizidishe Hadi kuvimbiwa. Alisema anajua wanaendelea lakini wasizidishe! Rais alihamasisha rushwa
 
KAMA KIONGOZI WA SERIKALI, UKISHASEMA ^KULA,^ HATA KAMA NI MUDA WA KUPANDA MITI, WATUMISHI NA VIONGOZI WAKO WATAJUA UNAWAAGIZA ^WALE PESA^ ZA UMMA!!!

Msimlishe Bi Mikopo maana tofauti na ile aliyoikusudia.
Acha wale!!! Nyie tshirt zenu ziko tyr
 
Wewe usitetee uozo alisikika kabisa alixungumzia rushwa na akaagiza wasizidishe Hadi kuvimbiwa. Alisema anajua wanaendelea lakini wasizidishe! Rais alihamasisha rushwa
Andamana mnyamahanga wewe ukung'utwe
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Kwa hiyo watu wote hawaelewi kiswahili ni wewe peke yako na hangaya mnaoongea misemo na mafumbo ya pwani........kama unafikiri Yesu kauli zake zilieleweka kwa kila mtu utakuwa na matatizo makubwa ya ufahamu wa maandiko kumhusu huyo Yesu ndo maana umediriki kumuita mungu kama ile miungu ya kwenu, akiwemo huyu mungu hangaya mnaemtubia dhambi zenu "nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana'
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Na kujipimia ni kuwa na kiasi ,kama kiswahili simple hicho watu hawaelewi akija na misamiati mingine ya Kizanzibar so ndio watapoteana mazima?
 
Mh. Raisi alisema waziwazi MJIPIMIE, kana kwamba stahiki na marupurupu huwa wanajichotea kama bufee.
Alitoa na mifano kabisa: ujenzi wa meli, na barabara
Hata unapata ujira wa siku kwa kuandika humu au ndio uhuru wa maoni, ni vyema ficha ujinga kidogo
 
Kwa kuwa huu upupu umeletwa na mhaya, si jambo la bahati mbaya...........hakuna mhaya mwenye personal integrity zaidi ya majungu, fitina, kujikweza kulikopitiliza (hata kama mhaya kapata zero kidato cha nne atataka aonekane kama msomi wa kiwango cha PhD), ulimbukeni, kujikomba, umalaya na kukosa uaminifu kwenye mahusiano iwe ya kimapenzi, kibiashara nk. hii iko kwenye damu, dharau iliyopindukia kwa watu wa makabila mengine........hayo yote ni kwa uchache kwenye tabia za hovyo hovyo walizonazo hawa viumbe.
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
kwani hiyo mishahara, posho na malupulupu mengine wanagawana ktk maofisi yao au mlipaji nimmoja? nakama wanalipwa na taasisi moja kila moja kwakiwango chake kutokana na mkataba wa ajira yake uvimbiwaji utakua ofisini au nyumbani kwake?
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Kama usemavyo ndivyo alivyomaanisha lakini katika kutamka akatamka mengine basi nakubaliana na wengi kuwa SSH ana uwezo mdogo sana!
Tumepigwa!
 
Back
Top Bottom