Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

Status
Not open for further replies.
flora kamsaliti mumewe kwa gwajima hiyo haitaji elimu ys mlimani kujua ukweli
 
Katiak kuzunguka zunguka humu nimekutana na ushahidi usiopingika kwamba J.K Mkongo alikuwa CHANGUDOA.., hii ni hatari sana..!

kwaiyo, acha sifa za kijinga wakati hujui lolote JITAMBUE unapata midhambi ya bure tu mr, ukijitambua hautaandika ujinga kama huu.
 
acha unafiki, hujui chochote wewe unapayuka tu,unamhukumu flora kwa kosa gani? ema pia ana tuhuma na hazijathbitishwa kwaiyo uache hukumu zako za kijinga nyerere ukimlaumu flora na kumwacha ema lazima wewe utakua mjinga na huna akili timamu, eti sio wife material! wewe una uhakika na una uthibitisho gani?

upeo wako mdogo matatizo ya kifamilia huwezi ukawachangisha waumini milion 9. Ulitupiwa jini bila kujielewa sasa limetoka unatoa ushuhuka kama msukule
 
Last edited by a moderator:
upeo wako mdogo matatizo ya kifamilia huwezi ukawachangisha waumini milion 9. Ulitupiwa jini bila kujielewa sasa limetoka unatoa ushuhuka kama msukule

wewe ndio hujielewi wewe, unaongea utafikiri unajua kumbe huna lolote, pole sana
 
Kwa mfano kaandika hivi: Cristina anazunguka Dunia kwa Baiskel kwa nia ya kutokomeza ukatili wa Kijinsia kwa Wanawake. Alipofika Tanzania na kuelezea azma yake hiyo aliambiwa amtafute Joyce Kiria...

sijaelewa maana yake ninini hasa? inawezekana yeye anajiona kama ni mtu maarufu sana. sijui ana nini cha muhimu

mchumia tumbo tu ukiongelea suala elimu utachambwa hapa mpaka vidole vya ....,n
 
magezeti ya udaku yatakuponza sana wewe mtu mzima hatishiwi nyau

Kama Mungu aishivyo Kama mnavyoendelea kymtaja DADY GWAJIMA BASI SIKUZOTE AKAWE JUU KILA ANAPOANDIKWA NYOTA ZENU ZIKAPOTEE NA KUREJEA KAWE KWA WATUMISHI WA MUNGU
 
acha unafiki, hujui chochote wewe unapayuka tu,unamhukumu flora kwa kosa gani? ema pia ana tuhuma na hazijathbitishwa kwaiyo uache hukumu zako za kijinga nyerere ukimlaumu flora na kumwacha ema lazima wewe utakua mjinga na huna akili timamu, eti sio wife material! wewe una uhakika na una uthibitisho gani?

Wamegusa vipoozeeo vyenu ??kazi ipo
 
Last edited by a moderator:
Flora amzushia mbasha ili aendeleze uzinzi na gwajima kwani hakuna awezae kubaka watu wawili wa mtiririko....hiyo imetengenezwa.
 
Atakuwa kainama kainua masaaabuuurrri yake akiwa mtupu akaanza kufikiri kanjanja namba moja anatetea haki za kijinsia akiamini kwamba mtua kiongelea jinsia anaongelea mwanamke she is a mere fool

Haha eti masaburi!!
 
sidhani kama ni upuuzi

she has aired her mind na tunaruhusiwa kuwa na tofauti ya mtazamo

tunaomlaumu Florah tuna vigezo vyetu na yeye kama mwanamke ametumia nafasi yake

kumtukana ni kujitukana wenyewe
 
Joyce Kiria kwenye hii issue angekaa kimya, sexual record yake ni mbovu sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom