Mkutano wa Beijing 1998 umetuharibia wake zetu

Mkutano wa Beijing 1998 umetuharibia wake zetu

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
1,022
Reaction score
1,183
WanaJamvi muhali gani...!
Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa wa akina mama huko CHINA BEIJING na kauli mbiu kuu ni "Haki sawa maisha ni 50/50 hahhahahha na wanaume tuanze kuzaa au siyo..!!
Kila mwanamke aliyejaribu kutaka mfumo huu uendeshwe katika familia yake na akakutana na mwanaume ngangari wengi wa wanawake hao sasa ni Ma-single maza na wengine wametangulia mbele za haki na wengine ndio wameharibu zaidi radha ya ndoa yao wanaume wameamua kuishi maisha yao ingawa bado wapo ndani ya ndoa...!!
Tambua mwanamke atapata haki sawa kwa Mwanaume asiyetambua HAKI ya uanaume wake na mwanamke akisha kuwa na nguvu ndani ya nyumba ndio mwanzo wa kuharibika kwa malezi ya watoto...!!

Mwanaume simama ngangari......wanawake waliumbwa kwa ajili yetu, wanaishi kwa ajili ya wanaume ni wewe tu kukubali kushikwa masikio na mwanamke au kusimamia misingi ya uumbaji ( Naye ataitwa mwanamke maana ametoka katika mifupa ya mwanume)😉
 
Back
Top Bottom