Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Seriously unaamuacha kisa ajui kupika!? Ebu mrudishe nyumban alaf uongee na mama ake amweleze ukwel kuwa umechoka na tabia yake ya ukaidi hasa unapomueleza kuhusu mapishi yake, baada ya hapo mtaftie mwalim amfundishe kupika na umwambie kabsa akishindwa hapo ndio ndoa imekufa kabsaa hautoweza mvumilia tena
Mkuu, hadi kufikia uamuzi huo nimejaribu kila njia lakini wapi!
 
Unaambiwa kufundishwa hataki.
Mke siyo mtumwa wako wa kukusaidia kazi za nyumbani kama kuzaa, kulea, kupika, kufua, kufanya usafi, kisha kukufurahisha unaporudi nyumbani.

Mwanamke wa kisasa mnapaswa kupanga na kutekeleza mambo yote likiwepo la kujiendeleza kiuchumi kwa kushirikiana.

Mimi sitaki mke anayejiona mtumwa wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom