Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Tatizo ni mama mkwe anapokuja kusalimu au mnapo kwenda kwake. Mama wa Kiafrika aone mtoto wake anapika na mke amekaa pembeni.
Mama wa kiafrika wengine ndio wanaishi hivyo pia na waume zao. Muhimu anayejua kupika sana apike mwingine afanye shughuli nyingine.
 
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi!
Lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme!
Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!

Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu.
Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie!!!

Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.

Mimi haya hiyo sex sipati
 
Mke siyo mtumwa wako wa kukusaidia kazi za nyumbani kama kuzaa, kulea, kupika, kufua, kufanya usafi, kisha kukufurahisha unaporudi nyumbani.

Mwanamke wa kisasa mnapaswa kupanga na kutekeleza mambo yote likiwepo la kujiendeleza kiuchumi kwa kushirikiana.

Mimi sitaki mke anayejiona mtumwa wangu.
Yote sawa, lakini kuna kila idara ktk familia. Na ktk kupanga majukumu ya hizo idara kila mwanandoa hujikuta anaangukiwa na majukumu anayoyamudu zaidi. Kwa maneno ulio andika hapo tarajia kuambiwa safari hii kubeba mimba ni zamu yako.
 
Nilishafanya hivyo mara kadhaa, matokeo yake nasifiwa na kuombwa nipike tena na tena…. unakuta yeye anakosa kujiamini kabisa!

Tatizo langu najikuta nakosoa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] mnabadilishana kazi tu kama mnaishi wenyewe bila ndugu au housegirl. Maisha poa sana
 
Yote sawa, lakini kuna kila idara ktk familia. Na ktk kupanga majukumu ya hizo idara kila mwanandoa hujikuta anaangukiwa na majukumu anayoyamudu zaidi. Kwa maneno ulio andika hapo tarajia kuambiwa safari hii kubeba mimba ni zamu yako.
Kibayolojia haiwezekani. Hata kama tungekubaliana hivyo, bado bayolojia itakataa kwenye utekelezaji.
 
Nilishafanya hivyo mara kadhaa, matokeo yake nasifiwa na kuombwa nipike tena na tena…. unakuta yeye anakosa kujiamini kabisa!

Tatizo langu najikuta nakosoa sana.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi!
Lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme!
Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!

Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu.
Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie!!!

Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.
Dah.....Safi Sana....wewe si haumtaki tena.....kwasababu hajui kupika...hebu nipatie namba yake pm...nifanyie uungwana ubarikiwe ndugu yangu...nakuomba Sana mkuu 🤭
 
Huenda naye yupo hapa anakusoma. Atakutafuta tu usiwe na presha
 
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi!
Lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme!
Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!

Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu.
Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie!!!

Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.
Sina la kusema hapa; tukutane kwenye jukwaa la mapishi!
 
Usikute ulikuwa unalalamika chakula kibaya wakati tools za kufanya chakula kiwe kitamu hazikuwepo, na jikoni kwako labda kuchachu sana hakuna vifaa vya kupikia vizuri Wala viungo vya kufanya chakula kuwa kitamu, imagine nyama imepikwa vibaya kama una oven wewe mwenyewe ungechukua kitunguu swaumu ukaongeza weka kwenye oven dakika tano tayari nyama ingetoka tamu na yeye akajifunza, wali hivyo hivyo ungemwagia hata Nazi ya Azam ukaweka kwenye oven dakika tano wali mtamu, Sasa usikute hata wewe jikoni kwako huna raha napo, chakula ni tiba na ibada kama wewe mwenyewe hukuwa umeandaa mazingira ya kupata chakula chako hata yeye atakuwa alichoshwa na mazingira ya kuandaa chakula na bila vifaa.
 
Kuzidisha chumvi kila siku inahitaji tools gani mkuu ? Kutokujua kitu sio dhambi wala ulemavu maadam anaweza akajifunza,

Lakini kwa huyu Tatizo lipo kwa huyo dada kukataa kufundishika, hamna excuse nyingine yoyote hapo, kama sio mjeuri basi ni mjuaji asiyejua kwamba hajui

Kupika mlenda mzuri unahitaji oven? Au maharage ya karanga ya kusaga unahitaji ibada jikoni? Otherwise labda huyu ni wewe umekuja kujitetea[emoji23][emoji23]
 
Utaishi naye vizuri tu mkuu. Unamwambia kaa pembeni mama watoto wewe unapika.
Pesa nikutaftie na nikupe, nikulishe nikupikie, nikufikishe kileleni tena saa ingine uninyime papuchi, we umekaa tu nyumbani, aisee ntakufukuza, huo wema mm sina, sasa we mwanamke utakua na faida gani kwenye nyumba Mrs Van
 
Sex intercourse?kulikuwa na ulazima gani wa kuandika kiingereza usichokijua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom