Atashinda kama Tundu Lisu alovyoshinda 2020. Tafauti ni kuwa,huyu wa Senegal atatangazwa. Ntatania tuu [R.Matinya]
 
Nahakuna atakaeondoka na cheo.
Ukweli bora usemwe ili wasioelewa wajitambue.Magufuri alifariki akakiacha cheo,Sata Zambia alikufa cheo cha urais kikabaki vile vile,na hata Levy Mwanawasa kule Zambia alifariki lakini cheo cha urais bado kinaendelea.Urais hauishi wala kufutika bali nafsi hufutika muda ukifika.
 
Bibie wa Unguja alimpongeza Putin haraka haraka na sote tunajua kuwa kulikuwa uwizi mkubwa wa kura kwenye Uchaguzi wa Russia.

Sasa ngoja tuone kama atampogeza Faye wa SenegalπŸ‡ΈπŸ‡³ mshindi halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…