Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,103
- 124,653
Si uulize mwenyewe mbona unajificha kwenye mgongo wa mwenzio?Muulize nature ipi ambayo mwanamke sio Provider?
Nani provider?
Si uulize mwenyewe mbona unajificha kwenye mgongo wa mwenzio?Muulize nature ipi ambayo mwanamke sio Provider?
Nani provider?
Si uulize mwenyewe mbona unajificha kwenye mgongo wa mwenzio?
SijuiHiya nature ya wanawake kuhudumiwa umeitoa wapi?
Unajua maana ya Nature?
Unaujua upande wao? Haiwezekani wewe kila siku mapenzi ya kutese kuna sehemu watakuwa wanakosea tu. Yaani kama Manara useme hana bahati na mapenzi, utazani yeye malaika, hawa mapingwa wa kuacha na kuchukua wengine, kuna sehemu wana matatizo tena sio madogo ni makubwa na mara nyingi kwa wanawake wenye hela ni viburi, jeuri ndio maana wengi wao hawa olewi, wanaishia kuguswa na kuachwa yule Manara Gubu na inasemekana anafikia hatua ya kupiga.Upendo na Nambua hawana bahati kwenye hii tasnia ya mapenzi. Tatizo ni sisi wanaume kutoweza kuwa chini ya mwanamke hata kama ana hela. Unaweza pretend kwa muda mfupi ila lazima ujichanganye tu. Yaani ni kama umfuge Simba au Fisi halafu utegemee asilete madhara siku moja.
Yule muhindi ni punga, ni rafiki yake tu na sio mpenzi wake. Kipindi kile anajiexpose na yule mhindi alikuwa na kabwana kakijana alifunga nacho ndoa paparazzi wakawa wanamwandama.Sasa ili kupoteza watu maboya ndo akajitangaza na yule mhindiNaupendaga mwili wake wa kike laini na shape yake ile.....yule muhindi aliishiaga wapi hivi si walifunga ndoa japo ilikuwa zamani kidogo
Nakumbuka ilikuwa ni baada ya muhindi ndiyo alikuwa na yule marioo wa kulingana na iman wakeYule muhindi ni punga, ni rafiki yake tu na sio mpenzi wake. Kipindi kile anajiexpose na yule mhindi alikuwa na kabwana kakijana alifunga nacho ndoa paparazzi wakawa wanamwandama.Sasa ili kupoteza watu maboya ndo akajitangaza na yule mhindi
Hasan....Yule muhindi ni punga, ni rafiki yake tu na sio mpenzi wake. Kipindi kile anajiexpose na yule mhindi alikuwa na kabwana kakijana alifunga nacho ndoa paparazzi wakawa wanamwandama.Sasa ili kupoteza watu maboya ndo akajitangaza na yule mhindi