Upendo wa 'Open Kitchen' matatani kimapenzi

Upendo wa 'Open Kitchen' matatani kimapenzi

Picha ya Upendo wa ''Open Kitchen' tafadhali. Unanifahamu fika nilivyo outdated na haya mambo.
1000045189.png

Babu ukijiweka hapa sahau shida zako zote! Ana pesa za urithi hadi zake mwenyewe
 
Kupendewa pesa sindo kuteseka kwenyewe?
Upendo sasa ni aina ya wanawake niseme ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu.
Shetani lake kupanda na kupiga chini mwanaume kwake sio shida hata kama ni ndoa.
Yeye haamini katika uongo na moja ya uongo ni huo nakupenda kumbe zinapendwa💰
Na wanaume wa kibongo wasema ukweli ni asilimia 1.
Tumeache best afurahie kwa sasa hivi,, yajayo tutayafanyia tea party
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom