Unakumbuka yule loya sijui nani yaani vululuvululuuKnowing upendo ndoa itafungwa chap tu labda asitake.
Ndoa ya ngapi?
Ingekua mume wangu ndo kachukuliwA na Upendo ningetulia na kuunga ubff na Upendo mbona kuenjoy tuKnowing upendo ndoa itafungwa chap tu labda asitake.
Ndoa ya ngapi?
Tunaendelea kujifunza pesa sio kila kituUpendo namuonea huruma mapenzi yanamtesa na hapo pesa anazo.
Watoto watalipiwa ada na wewe unapata hela ya vikoba kila wk . Ma mitosis kila ukipita pale.Ingekua mume wangu ndo kachukuliwA na Upendo ningetulia na kuunga ubff na Upendo mbona kuenjoy tu
Labda kama aloibiwa mume nae yupo njema ila kama ana hali kama ya kwangu afanye atulizaneWatoto watalipiwa ada na wewe unapata hela ya vikoba kila wk . Ma mitosis kila ukipita pale.
😂😂Bonge mno nalo![]()
😅😅😅 Afu wewe!Ingekua mume wangu ndo kachukuliwA na Upendo ningetulia na kuunga ubff na Upendo mbona kuenjoy tu
😅😅 vululuvululu sio?Unakumbuka yule loya sijui nani yaani vululuvululuu
Mimi Upendo nampenda anaenjoy bila kujali maneno ya watu na pesa anazo.😅😅😅 Afu wewe!
Hiyo mnatakiwa muwe matapeli na Mr pia maana anaweza kukuchoma usikanyage pale.Labda kama aloibiwa mume nae yupo njema ila kama ana hali kama ya kwangu afanye atulizane
Ule mchezo wa kusigina huyo mnyakua mune aliuacha?Basi bwana inasemekana Upendo kafall in love na mume wa mke mwenye watoto wawili. Wakaenda South Africa, Upendo akanogewa penzi. Bwana akamwambia nipo radhi nikuoe mke wa pili, Upendo akakataa akasema ana mashetani yanapandaga hayataki uke wenza.
Wee, bwana akajitosa akalala kwa Upendo siku tatu, wanaa wakampa taarifa mkewe akakusanya watoto akapeleka kwa ndugu na vitu vya bwana akatoa nje. Yule bwana akakasirika akachukua watoto na vyake wakahamia kwa Upendo... yani Upendo kanyakua jumla... mke anajuta kumtishia bwana sasa alalama.
Yani Upendo ana mashetani hayataki share ya dushe eti, hii itakuwa sogea tuishi ama itazaa ndoa? Na bwana kasema hamwachi Upendo kwani ana hela nyingi na anajua kubembeleza
Mbona Tembo?View attachment 3602055
Babu ukijiweka hapa sahau shida zako zote! Ana pesa za urithi hadi zake mwenyewe
Muhimu ukiingiza ibaneMbona Tembo?
Imeshaambiwa hapo kula kujigalagaza utakosa kuwa elephantMbona Tembo?