Upendo wa 'Open Kitchen' matatani kimapenzi

Upendo wa 'Open Kitchen' matatani kimapenzi

hakuna alie.mkamilifu juu ya juu
Mkumbuke wite tunapita
achaneni na maisha ya watu wapendwa

ukijiona kiherehere keshoyako jiandae na wewe kusemwa

alldbest

mpendane mkiwa hai
 
Upendo na Nambua hawana bahati kwenye hii tasnia ya mapenzi. Tatizo ni sisi wanaume kutoweza kuwa chini ya mwanamke hata kama ana hela. Unaweza pretend kwa muda mfupi ila lazima ujichanganye tu. Yaani ni kama umfuge Simba au Fisi halafu utegemee asilete madhara siku moja.
Kwani Nambua hajaolewa?
 
Muulize nature ipi ambayo mwanamke sio Provider?
Nani provider?
Inaonekana nature ya binadamu ni tofauti kidogo maana porini Simba majike ndio yanawinda zaidi madume ni kwa ajili ya ulinzi wa pride na kuangusha mawindo makubwa inapohitajika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom