Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,330
[emoji106] [emoji3]Hahahaaa mengine huwa ni mbwembwe tu.
[emoji106] [emoji3]Hahahaaa mengine huwa ni mbwembwe tu.
Hata mimi naamini wananipenda kweli. Nami nawapenda pia. Nitajitahidi kuhold my ground next time wakisuggest kitu nisichokikubaliMkuu amini hao mawifi watakuwa wanampenda wifi yao kweli baada ya kujua ndiyo furaha ya kaka yao.
Ingekuwa vinginevyo huyu Dada asingeweza kwenda against mawifi sita Kama wangekuwa vimeo.
Cha muhimu huyu Dada must go along with them while showing them her taste little by little..... Watakubaliana tu
Hata mimi naamini wananipenda kweli. Nami nawapenda pia. Nitajitahidi kuhold my ground next time wakisuggest kitu nisichokikubali
Hata mimi naamini wananipenda kweli. Nami nawapenda pia. Nitajitahidi kuhold my ground next time wakisuggest kitu nisichokikubali
Asante sana, Ubarikiwe.Not necessarily uanzie hapo, you may start kwa kuwachagulia wao vitu na styles mbalimbali..... Ukiona wanaaccept unavyowachagulia basi huna budi na wewe kuaaccept vyao, ila wakikataa na wewe utakuwa na nguvu ya kukataa.
Kumbuka ni muhimu kwenda nao mdogo mdogo na kwa Tahadhari sana,mawifi 6 wakikubadilikia you won't last even for a day.
Kila la kheri
Aisee mi nina msimamo sana. Hata rafiki zangu wananiambia hivyo ila kwa uhusiano huu nakuwa mzito kuonesha misimamo yangu.
Mimi mamaangu hakuwa na uhusiano mzuri na wifi zake na hana uhusiano mzuri nao hadi leo na mimi kama mtoto naona effects za hiyo hali kwake na hata kwetu kwani hatuko karibu na mashangazi, hatuna uhusiano wa karibu na mabinamu zetu upande wa baba, na hata tukiwa nao ni ule wa kimachale. Ningependa iwe tofauti kwangu na watoto wangu kwakweli.
Safi kabisa kama unasafisha mwenyewe miguu mororoo.Hahahaahhahaha..umejua kunichekesha aisee. Nasafisha kucha zangu mwenyewe jamani na kusugua miguu yangu mwenyewe. Mambo ya kubandika kucha na kuchora maua naona ni extra tu
Kwani kaka yao hakuona hayo wakati anatongoza? Kapenda kaka si mawifi, wamezidi.Utakuwa unavaa hovyo wanaona kama huendani na hadhi ya kaka yao
Wanataka wajue reaction yako kwao ( kwa lugha nnyepesi mu'stand wako ndo wanaupima)Una maana gani?