Yani hii kitu inanikosesha raha. Ila ni changamoto inabidi niikabili...teh, na wewe umeolewa penye mawifi sita mtani[emoji12] .
Tatizo watu hawataki kuishi maisha yao, hasa mawifi. Wanadhani wana mandate na kaka yao. Huyo jamaa asipokuwa na principles kwenye nyumba yake, hao madada sita watamtafuna wifi yao.
Acha na mie nijifunze kupitia hapa mtani, nisije kumsababishia usumbufu wife mtarajiwa wa brother.. Because I am wifi mtarajiwa too....teh, na wewe umeolewa penye mawifi sita mtani[emoji12] .
Tatizo watu hawataki kuishi maisha yao, hasa mawifi. Wanadhani wana mandate na kaka yao. Huyo jamaa asipokuwa na principles kwenye nyumba yake, hao madada sita watamtafuna wifi yao.
Hahahaahhahaha..umejua kunichekesha aisee. Nasafisha kucha zangu mwenyewe jamani na kusugua miguu yangu mwenyewe. Mambo ya kubandika kucha na kuchora maua naona ni extra tuunaambiwa ufanye pedicure manicure kaka yao asisimke,
Sio unakuta wifi miguu imepauka kama amelala jikoni.
Kwa mawifi tu nimejaaliwa
Ameolewa mmoja na wanne kati yao wana kazi zao. Hawamiliki salon hata, ila ni wadada wanajipenda kuliko yani. Urembo ni more of a basic need kwao.Hao mawifi ni 'vimeo' na watakusumbua
je wameolewa?
wanawake wote sita kuwa busy na wewe hawana kazi za kufanya?
wanamiliki saloon?
kuna tofauti ya mawifi sita wanaomiliki saloon kinondoni
na mawifii sita walimu na madaktari..au wauguzi......
Katika yote hilo ndilo ulilokuwa umelisahau... Hongera kwa kulitambua.Yani hii kitu inanikosesha raha. Ila ni changamoto inabidi niikabili
Hao mawifi ni 'vimeo' na watakusumbua
je wameolewa?
wanawake wote sita kuwa busy na wewe hawana kazi za kufanya?
wanamiliki saloon?
kuna tofauti ya mawifi sita wanaomiliki saloon kinondoni
na mawifii sita walimu na madaktari..au wauguzi......
thanks my..Pole na Hongera haha
Bossman...wakati mwingine sidhani kama shughuli ya mtu inajalisha sana.
Wengine tabia ya upekepeke na usabasi ni ya asili.
Hata wawe madaktari au wahasibu, bado watafanya yao kwa mujibu wa walivyo kiasilia.
Hujawahi kusikia umbea au kuona wambea huko maofisini?
Too much of anything is harmful aisee... Upendo mpaka wakuzodoe kwenye preferences zako sio upendo tena, ni utumwa. Yani ufanye wanavotaka wao, sio kabisa.Wenzako wanatafuta huo Upendo na hawaupati wewe unaukinai, shauri yako
Hao mawifi ni 'vimeo' na watakusumbua
je wameolewa?
wanawake wote sita kuwa busy na wewe hawana kazi za kufanya?
wanamiliki saloon?
kuna tofauti ya mawifi sita wanaomiliki saloon kinondoni
na mawifii sita walimu na madaktari..au wauguzi......
Too much of anything is harmful aisee... Upendo mpaka wakuzodoe kwenye preferences zako sio upendo tena, ni utumwa. Yani ufanye wanavotaka wao, sio kabisa.
kizazi cha insta watoto wao sijui watakuwaje?Jamani mimi mawifi zangu (dada wa mtarajiwa wangu) wananitatiza. Mchumba wangu ni mtoto wa kiume pekee kwa wazazi wake na amebarikiwa madada sita. To be honest nawapenda mawifi zangu na wananipenda pia kwa maneno na matendo ila sasa upendo huu naona unaelekea kuwa mzito sana kwangu.
Mimi ni mwanamke simple sana. Mavazi na Hairstyle na muonekano wangu kwa ujumla ni simple. Sasa mawifi zangu tangu nimetambulishwa kwao wamekuwa ni watu wa kutaka kunibadilisha. Ninaletewa nguo, hereni, viatu na kila aina ya urembo ambao si kama ule ninaopendelea. Weekend lazima mmoja anitafute twende salon, tukifika huko nitalazimishwa mambo ya pedicure, manicure wakati sina mazoea hayo. Yani ni kama wamewekeana zamu, leo huyu kesho huyu. Mara shopping na tukifika huko sipewi uhuru wa kuchagua nivipendavyo bali naambiwa "wifi hii ndo itakupendeza bwana, tena hata kaka atapenda ukivaa hii".
Wiki iliyopita tulienda harusini mimi, mchumba wangu na dada zake wawili. Nikakutana nao mitaa ya Mwenge ili tuongozane kwenda huko. Nilikuwa nimevaa flat shoes na gauni langu la usiku. Jamani wifi zangu walilalamika kwanini nimevaa flat shoes kwa muda kama dakika 20 hadi baby ikabidi aseme mwacheni mke wangu. Leo wifi amenitag instagram kwenye picha ya viatu virefu ananiuliza kama nimevipenda. Sijajibu hadi sasa na najawa na hasira na mashaka kuwa endapo nikiolewa si watakuja kunipangia hadi nightdress za kumvalia mume wangu hawa..
Nifanye nini waniache alone bila kuwa na mtafaruku au wasijisikie vibaya kwani wananipenda na najua wanafanya kwa upendo na nafurahi kupendwa ukweni ila daaaaahhhh!
Ameolewa mmoja na wanne kati yao wana kazi zao. Hawamiliki salon hata, ila ni wadada wanajipenda kuliko yani. Urembo ni more of a basic need kwao.