luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,150
- 21,801
Dada mimi sioni tatizo vaa dada mimi napenda kuvaa ila sipendi yafuatayo: 1:kubandika kucha
2. Ma weaving
3. Kubandika kope
4. Lipstik hapa natumia lip shiner tu!
yaliyobaki yote nafanya kwa sababu hayanibadilishi u natural wangu. Sasa dada mbona umebarikiwa kuwa na mawifi wazuri? Wenda wewe ni msabato unapenda nguo za kawaida ndefuu kila sehem etc. Ila isikupe shida wewe kuwa smart tu jua kupanga nguo bas. Da nawatamani loh una bahati!