Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Hivi mbowe anasindikizwa kwani hapajui polisi, mijitu haina kazi ?!!
 
Nafikiri watanzania wapend amani wataniunga mkono kwa hili.kitendo cha mwenyekiti wa chadema mh.mbowe kuitisha maandamano nchi nzima kinastahili kulaaniwa na kila mpenda amani kwani kina weza kusambaratisha umoja wetu kama watanzania.wengi tunajua madhara ya maandamano yasiyokuwa halali.endapo utapata madhara chama kitatoa laki mbili au tatu baada ya hapo hutapata chochote na familia yako ikiachwa ikihangaika.chonde chonde mbowe usituchafulie nchi.na pia nawaomba vijana wenzangu tusitumike kama kondomu.
Katafute nchi yako, nchi yetu kwa sasa si ya waoga bali niya wazalendo, wapenda haki na wenye akili zao timamu na wenye kuwaandalia maisha yenye uhuru wa haki na wa kweli kwa watoto wajao wa nchi hii!
 
Nafikiri watanzania wapend amani wataniunga mkono kwa hili.kitendo cha mwenyekiti wa chadema mh.mbowe kuitisha maandamano nchi nzima kinastahili kulaaniwa na kila mpenda amani kwani kina weza kusambaratisha umoja wetu kama watanzania.wengi tunajua madhara ya maandamano yasiyokuwa halali.endapo utapata madhara chama kitatoa laki mbili au tatu baada ya hapo hutapata chochote na familia yako ikiachwa ikihangaika.chonde chonde mbowe usituchafulie nchi.na pia nawaomba vijana wenzangu tusitumike kama kondomu.

Nchi tayari imeshachafuliwa na kutiwa umasikini kutokana ufisadi na ulafi wa viongozi wa CCM katika kipindi cha miaka 50!
 
Watoto wa bavicha mbona siwaoni hapa Makao Makuu??? AU Wao ujanja wao uko kwenye nini???
 
Mtikila alivyotinga na bajaji amenifurahisha sana,am a kweli ukiwa mpigania haki huwezi kukubalii mpigania haki mwenzako aonewe.

Gooo Mbowe.
Gooo Mtikila.
 
Toka weeee...ukiona mtu anapinga ukombozi ujuep naye yupo kwenye mtandao japo si mara zote unafikir
i Kwa maisha haya magumu nani akuelewe...
turudishieni heshima ya nchi hiii jamani muone kama haya yote yatatokea mmekula nchii hii mmeshiba isivyo halali halafu tukae kimya tu..

kama huguswi na maovu yanayotendeka nchii kaaaaaaa kimya...tuache maskini yupiganie ukombozi toka kwa watu wachache wanaotaka kujimilikisha nchi kama yao alaaaaaaah.
 
Mwenyekiyi wa Chadema anakaribia Makao Makuu ya Polisi muda mfupi atakuwa anaingia hapo. Police wameanza kukamata watu waliojitokeza kumsindikiza Mwenyekiti. Huku waandamanaji wanapambana na askari wa FFU vikali. Mji mzima ni balaa.
View attachment 186192

View attachment 186191

Dodoma Maandamano ya kupinga Bunge la Katiba

View attachment 186189

View attachment 186190

Yaani UKAWA ina nguvu kuliko hawa mafedhuli wacha waendelee na polisimaccm wao, lakini dawa inawaingia tu.
 
Habari za uhakika za ndani yaliyozungumzwa katika kikao cha Mbowe, wakuu wa polisi na wanasheria wa CDM zinasema polisi walipata wakati mgumu kutoka kwa mawakili wa CDM kuhusu tafsiri ya sheria na kanuni za maandamano, wajibu wa polisi, wajibu wa waandaaji, utaratibu wa kufuata katika kukataza maandamano nk nk.

Vifungu vya sheria vilikuwa nje nje na manjagu yakanyea.
 
Back
Top Bottom