Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Nimeamini chadema imeshavuka kuwa chama cha msimu na sasa ni chama cha ukombozi wa tz hvyo kisiogope ,wap cuf na nccr
 
Stupidity is confirmed when you talk nonsense. Kajifunze historia halafu uniambie ni nchi gani ambayo imeendelea ambayo haikupitia harakati za maandamano au mapigano ili kuondoa dhuluma, kupigania haki au demokrasia.

Vatican City
 
tuambieni gharama za kuwazuiabwatubwalio msindikiza Mbowe polisi nibkiasi gani na je mmetenga kiasi gani ya kuzuia maandamano ya nchi nzima...
 
IMG_0471.jpg

IMG_9709.jpg

Kamishna wa Polisi,CP Paul Chagonja akitoa akiwataka wanachana na wafuasi wa Chadema kuondoka kwenye eneo hilo kwani hakuna sababu ya kufanya fujo.

IMG_9743.jpg

Huyo jamaa nyuma ya Mbowe (Mwenye Koti) alijidai mlinzi wa Mbowe!! Akakutana na mkono wa sheria
sijui alipotelea wapi.....Msichezee Jeshi letu la Polisi..NA BADO
 
Polisi wa tanzania ni watu wa ajabu sana... hivi aliyesema ataandamana leo nani? Mbowe kwenda kuhojiwa polisi ndio kuandamana?

We mbona hujawahi kusindikizwa na familia ya Mbowe kwenda hata Hospitali? Acheni ujinga! Hiyo ni unlawfull assembly, sect 78-88 penal code.
 
Chini ya jeshi hili la upande mmoja tanzania hatuna muda mrefu wa kuingia kwenye vurugu. Jeshi la polis la sasa linapaswa kuvunjwa na kuundwa upya, kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Nafikiri watanzania wapend amani wataniunga mkono kwa hili.kitendo cha mwenyekiti wa chadema mh.mbowe kuitisha maandamano nchi nzima kinastahili kulaaniwa na kila mpenda amani kwani kina weza kusambaratisha umoja wetu kama watanzania.wengi tunajua madhara ya maandamano yasiyokuwa halali.endapo utapata madhara chama kitatoa laki mbili au tatu baada ya hapo hutapata chochote na familia yako ikiachwa ikihangaika.chonde chonde mbowe usituchafulie nchi.na pia nawaomba vijana wenzangu tusitumike kama kondomu.
 
Tutafika tu.....Let it be am tired kwa uongozi huu wa ccm am tired am tried am tired

.....
 
Nafikiri watanzania wapend amani wataniunga mkono kwa hili.kitendo cha mwenyekiti wa chadema mh.mbowe kuitisha maandamano nchi nzima kinastahili kulaaniwa na kila mpenda amani kwani kina weza kusambaratisha umoja wetu kama watanzania.wengi tunajua madhara ya maandamano yasiyokuwa halali.endapo utapata madhara chama kitatoa laki mbili au tatu baada ya hapo hutapata chochote na familia yako ikiachwa ikihangaika.chonde chonde mbowe usituchafulie nchi.na pia nawaomba vijana wenzangu tusitumike kama kondomu.
Kajifiche Mirembe.
 
Back
Top Bottom