Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

Chadema ni wahu..ni na kiongozi wao ni mh.uni kama wah.uni wengine wa Manzese hapa Dar.
 
mwenyekiyi wa chadema anakaribia makao makuu ya polisi muda mfupi atakuwa anaingia hapo. Police wameanza kukamata watu waliojitokeza kumsindikiza mwenyekiti. Huku waandamanaji wanapambana na askari wa ffu vikali. Mji mzima ni balaa.
View attachment 186192



View attachment 186191

dodoma maandamano ya kupinga bunge la katiba

View attachment 186189

View attachment 186190


nilikuwa sijui,kumbe kwenda kumsindikiza mtu kuhojiwa kumbe ni kosa kisheria........!!!!!!!!!!
 
Watu walioenda nadhani hawana kazi ya kufanya maana atatokaje ofisini au afunge biashara yake kwenda kupambana na dora? Pia ni uenda wazima wa kupitiliza.
 
Maandamano siyo kitu kizuri, wafikirie kutaka haki mahakamani na kama hakuna haki tuisubiri hiyo katiba ya chama tawala tuipige chini, kuanndamana no.[/QUOTE
mbowe ni Noma kakubali kupoteza billion point 3 ili mateja ya kinondoni yalipwe kumsindikiza. kweli viplate vinamamo kweli. macho kumchuzi ziiiiiii
 
si kwamba hawajaamua, kila mtu yuko busy na shuhuli zake za kujipatia kipato, unataka akaandamane badala ya kutafuta chakula cha watoto wake wakati yeye mboye anauwakika wa kula hata akiandamana mwaka mzimaa???
sasa kwa nini mnahaha kuyazuia - acheni hao wachache waandamane kisha watarejea makwao huku njaa ikiwauma na jua kuwachoma, nini mbaya??????? kababu tumieni akili kidigo kufikiri - hizi si zama za CCM peke yake
 
Back
Top Bottom