Katafute nchi yako, nchi yetu kwa sasa si ya waoga bali niya wazalendo, wapenda haki na wenye akili zao timamu na wenye kuwaandalia maisha yenye uhuru wa haki na wa kweli kwa watoto wajao wa nchi hii!Nafikiri watanzania wapend amani wataniunga mkono kwa hili.kitendo cha mwenyekiti wa chadema mh.mbowe kuitisha maandamano nchi nzima kinastahili kulaaniwa na kila mpenda amani kwani kina weza kusambaratisha umoja wetu kama watanzania.wengi tunajua madhara ya maandamano yasiyokuwa halali.endapo utapata madhara chama kitatoa laki mbili au tatu baada ya hapo hutapata chochote na familia yako ikiachwa ikihangaika.chonde chonde mbowe usituchafulie nchi.na pia nawaomba vijana wenzangu tusitumike kama kondomu.
Nafikiri watanzania wapend amani wataniunga mkono kwa hili.kitendo cha mwenyekiti wa chadema mh.mbowe kuitisha maandamano nchi nzima kinastahili kulaaniwa na kila mpenda amani kwani kina weza kusambaratisha umoja wetu kama watanzania.wengi tunajua madhara ya maandamano yasiyokuwa halali.endapo utapata madhara chama kitatoa laki mbili au tatu baada ya hapo hutapata chochote na familia yako ikiachwa ikihangaika.chonde chonde mbowe usituchafulie nchi.na pia nawaomba vijana wenzangu tusitumike kama kondomu.
Pambaneni makamanda hakuna kulala ukombozi uko karibu.....Oparesheni Pamoja Daima..
BACK TANGANYIKA
Atapigwa babako
Tulia mama uandike vizuri siyo unakurupuka tu kama shangingi lililopigwa kimoja...
Yesu, Petro, Prof Paulo...Walikufa kwa kuiba kuku?
mkuu kwa point ulizotoa ningekuw nakufahamu ningekupa japo zawadi; ila nadhani ujumbe umefika kwa walafi wa pesa za walipa kodi pale Lumumba,respect to you
Watoto wa bavicha mbona siwaoni hapa Makao Makuu??? Wanaogopa kulawitiwa!!!
Mwenyekiyi wa Chadema anakaribia Makao Makuu ya Polisi muda mfupi atakuwa anaingia hapo. Police wameanza kukamata watu waliojitokeza kumsindikiza Mwenyekiti. Huku waandamanaji wanapambana na askari wa FFU vikali. Mji mzima ni balaa.
View attachment 186192
View attachment 186191
Dodoma Maandamano ya kupinga Bunge la Katiba
View attachment 186189
View attachment 186190
Atapigwa babako
Matusi ni jadi yenu nyie misukule wa MTEI.