Ni kweli kamanda unawezakuta amefanyiwa kitu mbaya...
Huwa nacheka sana ninapoona Chadema wanavyoichezesha na kuichezea serikali ya CCM. Nacheka zaidi ninapoona jinsi serikali hiyo inavyokiogopa na kukichukulia Chadema kwa makini zaidi. Sasa hivi Serikali haithubutu kukipuuza chama hicho cha upinzani. Kwa mfano wakitamka tu kuandamana, Serikali inaacha shughuli zote na kuelekeza nguvu zake kwenye maandamano hayo. Sasa Chadema ikikohoa tu Serikali inasikiliza kwa makini sana. Hii maana yake ni nini? Inamaanisha kuwa Chadema si chama cha kufanyia mzaha. Kikitamka kitatumia Red Brigade kujilinda, Serikali inatumia vyombo vyake vyote kupiga kelele za kulaani. Kama Chadema inatamka tu kelele za Serikali zinakuwa hivyo, basi siku ikiacha kutamka na kuanza kutekeleza maazimio yake kwa vitendo basi Serikali yote itasimama.
Kama kweli Chadema si chochote wala si lolote, basi wapuuzeni. Mbona CCM na Serikali yake wanababaika kiasi hicho kufuatilia nyendo za Chadema. Kama Chadema ni wapuuzi, basi wapuuzeni. Msiseme kwa midomo tu kuwa ni wapuuzi, wapuuzeni kwa vitendo pia. Sasa nimeanza kuona tishio kubwa la Chadema kwa CCMTisho la wazi kabisa. Siipendi Chadema wala siipendi CCM, lakini nafurahia mchezo wa kisiasa ambao serikali ya CCM inachezewa na Chadema. Yaani Chadema wanaandaa mtego wa kisiasa na Serikali inanasa katika mtego huo.
Maandamano siyo kitu kizuri, wafikirie kutaka haki mahakamani na kama hakuna haki tuisubiri hiyo katiba ya chama tawala tuipige chini, kuanndamana no.
naona hapa polisi waliojihamu kwa mabomu ya machozi na silaha za moto wanajaribu kuwakabili vijana waliomsindikiza kamanda mbowe
Tena saaaaana.
Ova
hivi kumetulia huko jamani, kamanda mwenzenu nataka kurudi home nione familiaWaliokuwa wanasema jana kuwa kesho tutakuwa mstari wa mbele ndo wanaomba updates wapo na vi-keyboards,ukamanda ni shida
si kwamba hawajaamua, kila mtu yuko busy na shuhuli zake za kujipatia kipato, unataka akaandamane badala ya kutafuta chakula cha watoto wake wakati yeye mboye anauwakika wa kula hata akiandamana mwaka mzimaa???
upo wapi muda huu kamanda, kumetulia huko nataka kurudi homehuo ni mwanzo tu. maandamano makubwa yanakuja. Albino,tembo wanauwawa polis wanazuga tu hawatoi majibu sahihi. wanaitolea macho CDM.
kamanda hata mgambo hajapitia ama ukipiga disco nako kuna ukamanda ?
mmhh Mimi napita tu, fumbo mfumbie mjinga - siasa za vuguvugu bado sana nchi hii, hakuna mwenye kuweza kuweka rehani maisha yakeKwa akili yako nyepesi, hujaona kuwa kwa woga wa Serikali, imafanya POLISICCM kuandamana, badala ya CDM? Maana kila mtaa Policcm walikuwa ndio wengi kuliko raia wa kawaida, ukiachilia mbali wafuasi wa CDM ambao wengi walijua woga wa serikali utazaa hadi kuagiza mabomu mapya kupambana na raia wasiokuwa hata na fimbo! Useless mind you and POLICCM!
badala tuandamane bei ya unga imepanda eti tunamsindikiza mbowe watz bhana
na hawa chadema wanavyo ongopeana humu dah munguibariki tanzaniaHahahahahaha hahaha. Usizuge kama vile hujui viwango vya IQ za wabongo vipo nafasi ya ngapi kwenye orodha ya Dunia.
Wenzetu wanaandamana mkate kupanda bei ila bongo watu wanaandamana kumsindikiza tajiri polisi... bongolala.
wewe sijui unaakili gani ila nahisi hujakuwa si unategemea wazazi badoNgoja nikusidie kufikiri, maana wewe sijui unakitumia kichwa chako kwa kazi gani?
Ni hivi, nchi inahitaji ukombozi wa pili ndicho kinachofanywa na Chadema ikiongozwa na Mbowe, ndio maana tumemuunga mkono leo kwa maandamano. Ukipata ukombozi wa pili utashusha bei ya kila kitu sio bei ya unga tu.
Ova.