Chabruma
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 5,660
- 1,782
Mkuu, naona una hasira sana. Kwani maandamano yanasaidia nini?huo ni mwanzo tu. maandamano makubwa yanakuja. Albino,tembo wanauwawa polis wanazuga tu hawatoi majibu sahihi. wanaitolea macho CDM.
Mkuu, naona una hasira sana. Kwani maandamano yanasaidia nini?huo ni mwanzo tu. maandamano makubwa yanakuja. Albino,tembo wanauwawa polis wanazuga tu hawatoi majibu sahihi. wanaitolea macho CDM.
Mkuu, kuna wengine hata ufanyeje huwezi kuwasaidia. Vichwa vyao ni vibovu. Wao wanakaririshwa tu na akina Mbowewewe sijui unaakili gani ila nahisi hujakuwa si unategemea wazazi bado
Mwenyekiyi wa Chadema anakaribia Makao Makuu ya Polisi muda mfupi atakuwa anaingia hapo. Police wameanza kukamata watu waliojitokeza kumsindikiza Mwenyekiti. Huku waandamanaji wanapambana na askari wa FFU vikali. Mji mzima ni balaa.
View attachment 186192
View attachment 186191
Dodoma Maandamano ya kupinga Bunge la Katiba
View attachment 186189
View attachment 186190
Mkuu, naona una hasira sana. Kwani maandamano yanasaidia nini?
Ukiandamana ndo nn wakuu wanakula bata tu mmekalia kelele
JF inazidi kunoga. Kule kwa Kubenea kumedodaasante wanajf kwa kutuletea habari motomoto !
Mkuu, sina muda huoAngalia nyuma yako utajua faidae.
Mkuu, polisi hawana shida na wananchi ikiwa kuna ustaarab wakati wanafanya maandamano. Tatizo ni kwamba, maandamano mengi hasa yale yanayoandaliwa na CHADEMA kunakuwa na wahuni wengiDuh! Kumbe huwa tunadanywa kwamba hakuna askari wa kulinda maandamano, lakini wa kuzuia ni wengi hivi?
Hivi chama chenye Ofisi ya Mkoa kama hii utakiaminije?
View attachment 186225
hivi chama chenye ofisi ya mkoa kama hii utakiaminije?
View attachment 186225
Hivi chama chenye Ofisi ya Mkoa kama hii utakiaminije?
View attachment 186225
JF inazidi kunoga. Kule kwa Kubenea kumedoda
Natamani tuzike baadhi kuanzia kesho jamani
Polisi, kweli uwezo wao ni mdogo sana.