hawakamati ovyo,tangu juzi idadi ni ileile watu 91.Sasa kama wanakamata hovyo,wananchi wataendaje makazini.? Si wanaogopa kukamatwa ..mbona serikali hii haitumii akili! Si bora watangaze cufew ijulikane mara moja.
acha fiksi hizo mazee
Nimeipenda hiiNdugu yangu katafute kiugali chako na wanao ukalale mambo ya kupambana na serikali achana nayo haiwezi kukuwekea chakula mezani ht kama gesi inachimbwa uani kwako
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.
Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
Njia nyepesi ya kuwaadhibu hawa watu ni kupitia sanduku la kura hapo 2015.
L
Ninyi ndio mnaipromoti CHADEMA, kwa nini kila kitu mnawahusisha? Acheni hizo na dawa ni kuzungumza na wana Mtwara wala msitafute mchawi
2015 mbali sana kwa watanzania. Ikifika watachagua chama chao wanachokipenda,chama tawala,chama dume,chama chenye kuitetea amani ya nchi hata kwa kung'oa mapembe. Chama kinachopondwa sana mtaani lakin ikifika kwenye kura kinapewa nchi. Naomba uraia wa nchi mbili maana kukaa nchi ya wajinga wengi tunaonekana kuwa wote ni wajinga tu. Pathetic!
Kwani wewe kibaka?yaani wasichana na wanawake watapata tabu sana watabakwa mpaka basi. Mungu tuepushie
nikurekebishe tu mdau,alisema atazikata,,,,sio kuzing'oa,so it meanz zitaotaNina maswali machache hapa kwa serikali ya CCM,Bunge na Viongozi wote wa serikali:
Serikali ya CCM hakika mmechoka na mmepoteza mwelekeo badala ya kutafuta suluhisho la vurugu za Mtwara mnazidi kuchochea vurugu. SHAME ON YOU THE MAGAMBAS!
- JE, HII NDIYO NJIA SAHIHI YA UFUMBUZI WA VURUGU ZA MTWARA???
- JE,HIZO NDIZO PEMBE ALIZODAI RAIS KIKWETE KUWA ZITANG'OLEWA?
- JE,KAMA VURUGU HIZI ZITASAMBAA NCHI NZIMA KWA MAANA YA MIKOA YOTE YENYE RASLIMALI ZENYE MADINI KAMA SHINYANGA,MWANZA,TABORA,MARA NA MBEYA WAKAUNGANA NA WENZAO WA MTWARA SERIKALI MTAFANYEJE?
Tusije kujikuta tunavumilia uhalifu ukifanywa kwa jina la serikali!
"hata kama wana mapembe, tutayakata"
Serikali dhaifu imeshindwa kiutendaji na kimaono swala gesi ni la kutumia njia ya mazungumzo zaidi sio kutegemea vyombo vya dola.Nia laana kwa serikali hii ya CCM kufanye gesi ya mtwara ndio sehemu yakupatia fungu la kampeni zao 2015.
yaani wasichana na wanawake watapata tabu sana watabakwa mpaka basi. Mungu tuepushie