Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Kitendo cha serikali kuleta wachunguzi wa raslimali hii af wajenzi wa miundombinu kutoka upande mwingine kumeifikisha Tanzania kufika hapa! SERIKALI IJUE NAMNA YA KUWATUMIA WAWEKEZAJI!
 
hapa mtwara asilimi kubwa ya vijana waliokuwa wanafanya fujo jana leo wote wamekimbia makazi yao wako maporini ..na tetesi kuwa askari wanataka wafuata huk huko lengo kukamata wote waliosababisha hasara kwa serikali na wananchi .

swali: vipi ule uzalendo wa jana vijana umetoweka au nini tena . tuwe makini vijana tusitumike mana mwisho wa siku mabwana wenyewe wanakula beer sisi familia zetu zinabaki katika mateso kama hivi sasa nyumba zimeachwa kwa kina mama na watoto

Ndoto za Alasiri.....
 
Mwandishi wetu aliyepo Mtwara ametueleza kuwa
hivi sasa baadhi ya wananchi wa eneo la magomeni
mkoani mtwara wamekimbilia katika Hospitali ya
Mkoa wa Mtwara Lugula wakihofia usalama wao
kutokana na vurugu za kuchomwa kwa nyumba
zao pamoja na vibanda vya biashara zilizotokea
leo asubuhi katika eneo hilo
Kwa sasa inaelezwa kuwa katika baadhi ya mitaa
hali imetulia na ni idadi ndogo ya wananchi ndiyo
inayoonekana wakitembea mitaani isipokua eneo
la magomeni ambako mbomu yanaendelea
kusikika huku huduma za kijamii katika mji huo
zikiwa zimesimama zikiwemo usafiri, huduma za
kibenki na shule
 
Kwanza nani kamwambia kwamba watu wamefanya vurugu??

Vurugu wanafanya polisi,wanavunja maduka na nyumba za watu na kuiba pesa na vinywaji kama vile walivyokafanya tandahimba,,

kama wangekuwa na ubavu wangeita JWTZ kwa kuomba msaada??

JWTZ lilipoingia mtwara kutokea songea hushangai kwa nin wananchi wanawashangilia jwtz na kuwaimbia nyimbo za ukombozi kila wanapopita??

Sababu wanajua jwtz hawana njaa na hawaendeshwi kipuuz kama hao policcm wenu,,

Mwaka huu mbona mtajuta??
 
mbona jana hamjalalamika wananchi wamechoma nyumba za watu leo ndo polisi wanamakosa ..polisi kazi kazi tu kamaata wote kokote waliko..walizani serikali iko likizo
 
hapa mtwara asilimi kubwa ya vijana waliokuwa wanafanya fujo jana leo wote wamekimbia makazi yao wako maporini ..na tetesi kuwa askari wanataka wafuata huk huko lengo kukamata wote waliosababisha hasara kwa serikali na wananchi .

swali: vipi ule uzalendo wa jana vijana umetoweka au nini tena . tuwe makini vijana tusitumike mana mwisho wa siku mabwana wenyewe wanakula beer sisi familia zetu zinabaki katika mateso kama hivi sasa nyumba zimeachwa kwa kina mama na watoto
we ni dume au wakike? si kila kitu unachoa ambiwa, wewe ni wandiyo bwana, ukiogopa mno kusimsmia haki yako utafanywa wanavyotaka...kama watu wa mtwara wangekuwa kimya, kama walivyo kuwa wpole zamani wangenyang'wanya kila kitu mchana kweupe: act like a man, ukibaraka na unyapara!
 
Minyoo inakusumbua.

Ascariasis! This big

Ascaris_lumbricoides.jpeg
 
Tanzania ni kisiwa cha amani ya kusadikika

Hapo ndiyo wajue mwalimu alikuwa ni kichwa. We waache waendelee na upuuzi wao eti amani ililetwa na mababu(wakikwepa kumtaja mwalimu) kuficha udhaifu wao. J. K. Nyerere(rip) alikuwa ni extra-genius watamkumbuka sana.
 
kufikia jioni kutakuwa na mauzi kabao humu na sio nyuzi tena,all in all nikuhabarishana tu,serikali sikivu watumie busara tu kama walizotumia wakati wa kampeni mbona tatizo hili ni kisoda tu,wasisubirie liwe funiko litakuja shindwa bebeka mbele ya safari,<mda mwingine mkishindwa kutuliza gesi tumieni hata watu wa upinzania hususani cuf na nccr,najua akienda kiongozi wa cdm ndiyo hatunae tena ,tahadhali ni muhimu
 
kuna haja ya kumuamini mtu huyu kwanza anaomba radhi kwa kusema uongo alafu atoa taarifa nyingine



[h=3]KUNRADHI MALAWI NA TANZANIA[/h]
Kuna ujumbe ulikuwa unasambazwa kupitia simu za mikononi ambao na mimi nimeupokea ukidai kwamba kuna mabomu yametupwa kutoka nchi jirani Malawi. Blogu inapenda kutoa taarifa kwamba habari hizo sio za kweli. Pia inaomba radhi kwa wale wote kwa namna moja ama nyingine imewagusa. Kunradhi nchi ya Malawi na Watu wake, Kunradhi Watanzania
Posted by Baraka Mfunguo at Thursday, May 23, 2013 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook




[h=3]MTWARA : GESI GESI WAR UPDATE[/h]

  • Kuna madai ambayo hayajathibitishwa kwamba wanawake wanabakwa na maaskari, wanapigwa risasi kutokana na vijana wote kukimbia maporini.
  • Mwanamke anayekadiriwa miaka 25 mjamzito auawa kwa kupigwa risasi maiti ipo Ligula.
 
hakuna uhuru wa vyombo vya habari.....hali ya mtwara haikuwa shwari lakini vyombo vyetu vya habari....havikuonyesha chochote...
 
Kwasasa nchi haina viongozi makini, wanaacha kutimiza majukumu yao wao kila kitu kuna wapinzani wanaochochea migogoro sasa wao kama kazi imewashinda wanataka wapinzani waseme nini?
 
Kwa bahati mbaya au nzuri tathmini ya kiuchumi na kifedha iliyofanywa kama msingi wa kuendeleza mradi wa bomba la Gesi Kutoka Mtwara hadi DSM ilibaini kuwa mradi wa bomba unafaida kubwa zaidi za kiuchumi na kifedha kuliko kuzalisha umeme Mtwara na kuusafirisha kuja DSM.

Tathmini zote zinakuwa na 'level of confidence interval'. Sasa sijui hiyo iliyofanyika ilikuwa na level of confidence interval ngapi? After all hata ukituambia 'confidence interval' ni 99% bado hatuwezi kukubali maana hatujui methodologies iliyotumia hiyo tathmini na inherent margin of errors.

Na kitu kingine tunaweza kuwa na tathmini zaidi ya mia inayotathimini kitu hicho hicho na kila tathmini ikaja na matokeo tofauti. Cha msingi ni Serikali kutafuta muafaka na wanamtwara. Ingawa hutaki kukubali lakini ukweli unabaki pale pale, Annual maintanance ya Bomba ni kubwa kuliko Annual maintanance ya Nguzo za Umeme.

Lakini kuna kitu cha ziada naomba nikuulize, kuna faida gani kubwa za kiuchumi na kifedha ambazo zitakosekana ikiwe Plant ya kuzalisha umeme itajengwa Mtwara wakati Dar es Salaam na Mtwara yote ni Mikoa ndani ya Nchi moja? Au kutakuwa na 'Import duty' ya kuingiza umeme kutoka Mtwara?
 
kama polisi wataendelea kupita nyumba kwa nyumba na kuchukua vijana na kuwapiga the situation will be worse than yesterday. IT WILL BE LIKE GRENADE WITHOUT PIN OR BURNING FUSE IN A DYNAMITE STICK
 
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
 
Serikali bana, ufujaji wa kodi zetu tuuuuu! Ok wawalipe fidia wote walioumia/kujeruhiwa kwa maamuzi na jeuri yao basi.

Kwa hili la Mtwara "THE END WILL NEVER JUSTIFY THE MEANS".
 
Back
Top Bottom