Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
Kwan ni lazima niwe chadema???kwan jamii forum ni kwa ajili ya wanachadema tu?????kila mtu anaruhusu ya kutoa mawazo huwez kunilazimisha niwe chadema na kumpenda huyo Dr wako slaa
Mkuu kama hutaki keep low profile wapo wengi humu utajibishana nao utatafutiwa kasababu utapigwa na kitu chenye ncha kali "BAN"
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums