duh! kwanini wanaficha ukweli huo, mungu na aendelee kuwalani hawa magamba.
MBONA WAMETANGAZA KUWA NI WAWILI TU?.....Mkuu una uhakika?
Hivi kuficha idadi kamili ya wanaofariki katika majanga ni propaganda inayomsaidia nani?
Mpaka umri huu sijajua maana ya kitendo cha aina hiyo!
endeleen na moyo huo huo,mna uhakika gan kama madini yenu yanajenga roads???
Kituo cha televisheni cha ITV kimerusha habari usiku wa jana kuhusu vurugu zilizojitokeza kwa takribani siku mbili huko Mtwara. Taarifa hiyo imelitaja waziwazi jeshi la Polisi kuhusika na uchomaji wa nyumba za raia na kufanya uharibifu wa mali katika kile kile kilichoelezwa kusaka wahalifu.
Mwandishi wa ITV aliyeripoti habari hiyo kutoka Mtwara amesema "...kwa upande mwingine askari Polisi wameonekana wakichoma nyumba katika kusaka wahalifu waliochochea vurugu hizo..."
Nimejaribu kuploud voice clip ya mwandishi huyo lakini naona network inasumbua. Naendelea kujaribu ikikubali nitaweka wakati mjadala unaendelea.
NB: Jeshi la Polisi limeshutumiwa kuendeleza ghasia za Mtwara badala ya kuzituliza. Imeripotiwa katika vyombo mbalimbali kuwa Polisi wameongeza maafa Mtwara.
mtandao wa GUMZO LA JIJI umeripoti mwanamke mmoja aliyefariki leo mchana na kufanya idadi ya vifo kuwa viwili, kuwa alibakwa na askari kadhaa (licha ya kuwa mjamzito) na baada ya kutimiza haja zao wakampiga risasi, kisa tu mumewe alidaiwa kuhusika kwenye vurugu hizo, na walimtafuta wakamkosa hivyo wakaamua kuelekeza hasira zao kwa mkewe na kiumbe kisicho na hatia kilichokua tumboni.

Hatuna rais Tanzania; ila binafsi najua sikumpigia kura; wakulaumiwa ni wale waliopiga kura ya ndio kwa kufurahia sura.
Kituo cha televisheni cha ITV kimerusha habari usiku wa jana kuhusu vurugu zilizojitokeza kwa takribani siku mbili huko Mtwara. Taarifa hiyo imelitaja waziwazi jeshi la Polisi kuhusika na uchomaji wa nyumba za raia na kufanya uharibifu wa mali katika kile kile kilichoelezwa kusaka wahalifu.
Mwandishi wa ITV aliyeripoti habari hiyo kutoka Mtwara amesema "...kwa upande mwingine askari Polisi wameonekana wakichoma nyumba katika kusaka wahalifu waliochochea vurugu hizo..."
Nimejaribu kuploud voice clip ya mwandishi huyo lakini naona network inasumbua. Naendelea kujaribu ikikubali nitaweka wakati mjadala unaendelea.
NB: Jeshi la Polisi limeshutumiwa kuendeleza ghasia za Mtwara badala ya kuzituliza. Imeripotiwa katika vyombo mbalimbali kuwa Polisi wameongeza maafa Mtwara.
mtandao wa GUMZO LA JIJI umeripoti mwanamke mmoja aliyefariki leo mchana na kufanya idadi ya vifo kuwa viwili, kuwa alibakwa na askari kadhaa (licha ya kuwa mjamzito) na baada ya kutimiza haja zao wakampiga risasi, kisa tu mumewe alidaiwa kuhusika kwenye vurugu hizo, na walimtafuta wakamkosa hivyo wakaamua kuelekeza hasira zao kwa mkewe na kiumbe kisicho na hatia kilichokua tumboni.
jamani ni dhambi kusema uongo, kwanini tusiriporti kile tulicho na uhakika nacho? mimi sikatai kinachoripotiwa hapa lakini nakosa imani kabisa katika mapigano na vurugu kama hizi kweli polisi wanapata wapi muda wa kumbaka mtu? unajua hata wale m23 ubakaji haufanyiki kwenye mapambano ila pale wanapokua wameshawateka maadui au wapo kwenye eneo ambalo wamesha litawala!
Jambo moja linalonifanya kutoamini uongo wa watanzania katika kuyakuza mambo ni pale ilipotokea maandamano haramu ya wastaafu wa afrika mashariki watu na magazeti pori wakariport kwamba kuna mtu ameuwawa lakini polisi ilisema ndio habari zimewafikia lakinbado hatujadhibitisha! watanzania walisema eti polisi wanaficha ukweli namagazeti pori yakawa mstari wa mbele, matokeo yake polisi walimsaka alietajwa kufa na kufanikiwa kumpata na kumburuza mahakamani! Kwahiyo ndugu tusiwe wachochezi sema kile ulichokijua kwa uhakika na kama huna uhakika basi tuambie kua umefahamishwa hivyo lakin uhakika huna kwa sasa.
mtasema yote mwaka huuAlichaguliwa na Tume ya Uchaguzi, umesahau mkuu?
Hata mimi nimesikia kuna vifo vingi sana na serikali inaficha kwa kuogopa Obama ataghairi ziara yake
Njia nyepesi ya kuwaadhibu hawa watu ni kupitia sanduku la kura hapo 2015.
ni wewe pekee ndio ulioyaona hayo??? mchochezi mkubwa wewe huna kazi ya kufanya umeishia kutumika hapa jukwaani kupotosha ukweli...watanzania wana akili timamu na wanafatilia mambo kuliko unavyowadhania
Unandugu Mtwara? Mpigie hata hapa mjini tumeshudia polisi wakinyang'anya simu na kupola pesa za watu. Kuna u tube iliwekwa JF ikinyesha Polisi wakimsearch na kumpola Mwanafunzi wa Chuo kikuu, kwa polisi wetu inawezekana kabisa.
2015 mbona mbali sana, nimewachoka baa!
ni pale ilipotokea maandamano haramu ya wastaafu wa afrika mashariki