Imesikitisha kuona ghasia za mtwara zimesababisha kifo au vifo,uharibifu wa mali ya wana mtwara pamoja na kutoweka kwa amani,uongozi wa nchi hauna cha kumlaumu,kwa sababu wangetumia wakati kuwaelemisha wananchi juu ya umuhimu wa ile malighafi kwao na kwa taifa,upenzani usingekuwa mkubwa kiasi hicho,pili kihistoria,ukitoa botswana,nchi nyingi za kiafrika zimetumia malighafi za sehemu mbalimbali za wazawa kwa manufaa binafsi,na ndio chanzo cha migogoro kongo na sehemu nyingi,ninaisapoti serikali kusema mali na ya watanzania wote,huo ni ukweli,kwani mtwara wamenufaika na mambo mengi kimaendeleo kabla ya gesi,lakini kuwalazimisha kwa kauli nguvu bungeni kamwe hakutasaidia kufuta mzozo.
Tumieni viongozi wa upinzani na wa maendeo yale kuwaelemisha wananchi na kuwahakikishia hiyo gesi itawaletea maendeleo,tuone mifano hai,sio kuleta jeshi na ffu,diplomasia itamaliza hilo tatizo.huu ni mtazamo wangu...