Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
Nimeipenda sana hii!!common sense is not common
Nimeipenda sana hii!!common sense is not common
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....
with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..
Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?
Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..
Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..
Kumbe ilikuwa talaka rejea!!Nilifikiri zilikua tatu!Umesikika....
mbona unajishtukia ndugu? JiaminiNajua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali......
hIYO RED HAPO NI PUMBAPumba kila mtu huwaga anazitoa. Na huwezi ukazuia watu kutoa pumba kwa sababu hoja kama ni pumba au la inategemeana na mtazamo wa mtu.
Kuna wengine tu, kwa mfano wale wasiompenda Nyani Ngabu, wanaweza kabisa kuona hata hiki nilichoandika hapa ni pumba na wengine wakaona nilichoandika ni kuntu. Pumba za maoni hazina vipimo wala chujio linalokubalika na wote.
Cha msingi ni kuwa mvumilivu na muelewa wa maoni yaliyo tofauti na ya kwako. Kuna wengine 'jiwe' mwenzio analiona 'mkate'. Sasa katika hali kama hiyo ni uelewa tu ndiyo unaohitajika ili kusonga mbele pasipo na kukwazana.
hIYO RED HAPO NI PUMBA
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....
with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..
Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?
Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..
Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..
Bluu haiwezi kuwa kijani!me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..wengine hzo unazoita pumba znatuentertain pale tunapokuwa na stress zetu!!..kila mtu akiwa serious humu jukwaa litaboa banaa..
mkuu unaongea halafu unajipinga. Kama unakubali kila mtu ana mtazamo wake kwahyo ni sawa kwa wanaoona posts za watu pumba maana hiyo ndio mitazamo yenyewe.me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..
Great Thinker!!mkuu unaongea halafu unajipinga. Kama unakubali kila mtu ana mtazamo wake kwahyo ni sawa kwa wanaoona posts za watu pumba maana hiyo ndio mitazamo yenyewe.
hIYO RED HAPO NI PUMBA
Memo;2266050]Nyie watu nyie!
Hovyo kabisa.
kwa hiyo ukisoma hizi post kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc.. zinakuentertain mpaka stress zinaisha, nina wasiwasi na wewe!!MESSI;2267655]me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..wengine hzo unazoita pumba znatuentertain pale tunapokuwa na stress zetu!!..kila mtu akiwa serious humu jukwaa litaboa banaa..