Unawezaje Kupost pumba MMU?

Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....

with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..

Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?

Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..

Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..

Labda kosa ni la MODs walitakiwa wahamishie topics kama hizo kunakohusika.
 
its simple, wanakua hawajijui kama wanaongea pumba. sijui kama wanafit wapi kwenye hii, bt am just saying: 'if u dont knw that u dont know, ur are foolish!'
 
Pumba kila mtu huwaga anazitoa. Na huwezi ukazuia watu kutoa pumba kwa sababu hoja kama ni pumba au la inategemeana na mtazamo wa mtu.

Kuna wengine tu, kwa mfano wale wasiompenda Nyani Ngabu, wanaweza kabisa kuona hata hiki nilichoandika hapa ni pumba na wengine wakaona nilichoandika ni kuntu. Pumba za maoni hazina vipimo wala chujio linalokubalika na wote.

Cha msingi ni kuwa mvumilivu na muelewa wa maoni yaliyo tofauti na ya kwako. Kuna wengine 'jiwe' mwenzio analiona 'mkate'. Sasa katika hali kama hiyo ni uelewa tu ndiyo unaohitajika ili kusonga mbele pasipo na kukwazana.
hIYO RED HAPO NI PUMBA
 
Mkuu, unajua binadamu hatuko sawa vivyo hivyo na uwezo wa kufikiri/kuelewa jambo unatofautiana kati ya mtu na mtu. Kila mtu ana mtazamo wake, post ambayo we unaichukulia kama pumba mwenzako anaweza kuiona ipo sawa. Kilichopo ni kuvumiliana tu na kuchallenge ambapo hujaelewa, kama ukiona bado ni pumba basi unapotezea unaelekea kwingine, penye wengi pana mengi ndugu yangu!
 
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....

with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..

Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?

Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..

Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..

different interests!
 
me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..wengine hzo unazoita pumba znatuentertain pale tunapokuwa na stress zetu!!..kila mtu akiwa serious humu jukwaa litaboa banaa..
 
Bluu haiwezi kuwa kijani!
 
me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..
mkuu unaongea halafu unajipinga. Kama unakubali kila mtu ana mtazamo wake kwahyo ni sawa kwa wanaoona posts za watu pumba maana hiyo ndio mitazamo yenyewe.
 
MESSI;2267655]me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..wengine hzo unazoita pumba znatuentertain pale tunapokuwa na stress zetu!!..kila mtu akiwa serious humu jukwaa litaboa banaa..
kwa hiyo ukisoma hizi post kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc.. zinakuentertain mpaka stress zinaisha, nina wasiwasi na wewe!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom