Unawezaje Kupost pumba MMU?

Pumba kila mtu huwaga anazitoa. Na huwezi ukazuia watu kutoa pumba kwa sababu hoja kama ni pumba au la inategemeana na mtazamo wa mtu.

Kuna wengine tu, kwa mfano wale wasiompenda Nyani Ngabu, wanaweza kabisa kuona hata hiki nilichoandika hapa ni pumba na wengine wakaona nilichoandika ni kuntu. Pumba za maoni hazina vipimo wala chujio linalokubalika na wote.

Cha msingi ni kuwa mvumilivu na muelewa wa maoni yaliyo tofauti na ya kwako. Kuna wengine 'jiwe' mwenzio analiona 'mkate'. Sasa katika hali kama hiyo ni uelewa tu ndiyo unaohitajika ili kusonga mbele pasipo na kukwazana.

Miafrika Ndivyo Tulivyo.
 
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....

with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..

Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?

Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..

Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..

Mkuu
Umeongea vizuri lakin kumbuka kwamba hata nyama ya kuku, ili iwe na mvuto na hamu ya kuila kwa walio wengi basi iwe na mfupa wake, japo mwisho wa mlo tunatupa huo mfupa.
Japo ni mfupa, lakin ndio ulifanya nyama inoge.
Na kumbuka huyu kuku tulimtoa manyoya.

So humu kuna manyoya, mifupa, na nyama yenyewe ya kuliwa. Lakin vyote ni muhimu kumkamilisha kuku.
Kwahiyo mlaji ndio atajua, nini ale nini atupe
 
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..
ukikuta mtu kapost pumba unapita, sio lazima uchangie, mwingine hiyo pumba unayoisema kwake ilikuwa sio pumba, kwa hiyo kuchukulia post za wenzio pumba ni negative attitude yako tu.
 
we mwenyewe umemwaga pumba, hapa ni MMU, Unaleta complains, hujaona jukwaa la malalamiko?
 
teh teh teh teh teh teh

Hivi sisi ambao Rep Power zetu ni Zero maana yake post zetu zote Pumba?

Hivi avatar yangu ni handsome?
 
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..
Mkuu kweli ur blinded, unajenga hoja ambayo ipo wazi kabisa, hakukuwa na haja ya wewe kuja na vimifano vingi, ambavyo naamini mpaka unavipata umetumia muda mwingi kufikiria tena kupitia ktk threads nyingi za watu. Hata hapa wewe umeyafanya madudu yale yale, HII THREAD YAKO NI PUMBA MTUPU MKUU with a lot of MAJUNGU na UNAFIKI. Ibara ya 18. Katiba ya Tanzania inatambua juu ya Uhuru wa kutoa maoni na kuelezea pasipo uwoga mawazo yako. Pole!
 
MkuuUmeongea vizuri lakin kumbuka kwamba hata nyama ya kuku, ili iwe na mvuto na hamu ya kuila kwa walio wengi basi iwe na mfupa wake, japo mwisho wa mlo tunatupa huo mfupa. Japo ni mfupa, lakin ndio ulifanya nyama inoge.Na kumbuka huyu kuku tulimtoa manyoya.So humu kuna manyoya, mifupa, na nyama yenyewe ya kuliwa. Lakin vyote ni muhimu kumkamilisha kuku.Kwahiyo mlaji ndio atajua, nini ale nini atupe
Mkuu asipokuelewa hapa hata kuelewa/kumwelewa yeyeto. Kazi njema!
 
Back
Top Bottom