Naomba kujua hali kimaisha na kimazingira ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera

Moment of silent

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
807
1,394
Habari za mda huu wana JF

Natanguliza salamu zangu kwenu, natumaini mko vyema kiafya, na kwa wale ambao hamko vyema Mungu awafanyie wepesi.

Niende moja kwa moja katika dhumuni la kuanzisha uzi huu:-

Hivi karibuni natarajia kuhamia kikazi mkoani kagera katika wilaya ya ngara, hivyo nlikuwa nataka kufahamu kiundani zaidi kuhusu wilaya ya ngara katika nyanja tofauti kama:-

-kijamii na kiutamaduni
-kiuchumi
-Hali ya kiusalama kijumla.

pia kwa kuongezea;

-Bei za kukodi chumba chenye standard nzuri yaani self contained pamoja na mitaa iliyochangamka zaidi.

-Maeneo ya kula bata za hapa na pale kwa sisi vijana.

Sina uhakika kama nitakuwepo ngara mjini kutokana na nature ya kazi na shughuli nitakazofanya huko, ikiwa hivyo je kuna urahisi wa kufika mjini ndani ya dakika 45 mpaka lisaa limoja kutoka katika kijiji au kata yoyote ndani ya ngara? Na nauli maximum inakuaje kutoka kijijni hadi mjini?

Maana kwa ufuatiliaji wangu mdogo nimeambiwa ngara ni mji mdogo so nataka kujua zaidi kwa wenyeji je ku access mjini ni kwa mda mfupi?

Ikiwa hivyo kama ni mda mfupi nitapanga chumba mjini.

Natumai nitajibiwa vyema na wenyeji wa huko au kwa wadau waliowahi kuishi huko.

Naomba kuwasilisha kwenu ma great thinkers.🙏
 
Habari za mda huu wana JF

Natanguliza salamu zangu kwenu, natumaini mko vyema kiafya, na kwa wale ambao hamko vyema Mungu awafanyie wepesi.

Niende moja kwa moja katika dhumuni la kuanzisha uzi huu:-

Hivi karibuni natarajia kuhamia kikazi mkoani kagera katika wilaya ya ngara, hivyo nlikuwa nataka kufahamu kiundani zaidi kuhusu wilaya ya ngara katika nyanja tofauti kama:-

-kijamii na kiutamaduni
-kiuchumi
-Hali ya kiusalama kijumla.

pia kwa kuongezea

Bei za kukodi chumba chenye standard nzuri yaani self contained pamoja na mitaa iliyochangamka zaidi.

Maeneo ya kula bata za hapa na pale kwa sisi vijana.

Ni ufukara wa kutisha,si unajua Kagera
 
Sina uhakika kama nitakuwepo ngara mjini kutokana na nature ya kazi na shughuli nitakazofanya huko, ikiwa hivyo je kuna urahisi wa kufika mjini ndani ya dakika 45 mpaka lisaa limoja kutoka katika kijiji au kata yoyote ndani ya ngara? Na nauli maximum inakuaje kutoka kijijni hadi mjini?
Umepangiwa Shule gani Mpwa nikusaidie kujua ABCs kidogo? Kuna mlima TU mkali unaitwa K9
 
Kuna wadada waKiangaza...ukijichanganya tu ukakamata mmoja umeisha,utasahau familia yako na mjini hautarudi tena labda ndugu zako waje na trekta kukuvuta,mafuta ya upako na makofi juu ndio akili itarudi.
 
Hali ya hewa ni nzuri sana huko
Asante sana kiongozi kwa kunijuza, pia ningependa unijuze zaidi hususani katika vipengele nilivyoviorodhesha
Umepangiwa Shule gani Mpwa nikusaidie kujua ABCs kidogo? Kuna mlima TU mkali unaitwa K9
Daah kwa bahati mbaya mkataba wangu haukujieleza kata ipi au kijiji kipi bali umejieleza ni wilaya ya ngara mkoani kagera tu.
Ila by nature ni ujenzi wa chuo cha veta cha wilaya ya ngara mkuu.

Naomba unipe information zaidi za huko mpwa!

Hususani katika vipengele nlivyoviigusia katika uzi huu.
 
Kuna wadada waKiangaza...ukijichanganya tu ukakamata mmoja umeisha,utasahau familia yako na mjini hautarudi tena labda ndugu zako waje na trekta kukuvuta,mafuta ya upako na makofi juu ndio akili itarudi.
Mkuu kwa maana warogaji sana wa wanaume au just wanajua mapenzi sana?🤔

Kama hilo la pili halina shida kwangu sio limbukeni kihivyo wa mapenzi 😛😅
 
Asante sana kiongozi kwa kunijuza, pia ningependa unijuze zaidi hususani katika vipengele nilivyoviorodhesha
Daah kwa bahati mbaya mkataba wangu haukujieleza kata ipi au kijiji kipi bali umejieleza ni wilaya ya ngara mkoani kagera tu.
Ila by nature ni ujenzi wa chuo cha veta cha wilaya ya ngara mkuu.

Naomba unipe information zaidi za huko mpwa!

Hususani katika vipengele nlivyoviigusia katika uzi huu.
Gharama ziko poa tu nimefika mara moja
 
Habari za mda huu wana JF

Natanguliza salamu zangu kwenu, natumaini mko vyema kiafya, na kwa wale ambao hamko vyema Mungu awafanyie wepesi.

Niende moja kwa moja katika dhumuni la kuanzisha uzi huu:-

Hivi karibuni natarajia kuhamia kikazi mkoani kagera katika wilaya ya ngara, hivyo nlikuwa nataka kufahamu kiundani zaidi kuhusu wilaya ya ngara katika nyanja tofauti kama:-

-kijamii na kiutamaduni
-kiuchumi
-Hali ya kiusalama kijumla.

pia kwa kuongezea

Bei za kukodi chumba chenye standard nzuri yaani self contained pamoja na mitaa iliyochangamka zaidi.

Maeneo ya kula bata za hapa na pale kwa sisi vijana.

Sina uhakika kama nitakuwepo ngara mjini kutokana na nature ya kazi na shughuli nitakazofanya huko, ikiwa hivyo je kuna urahisi wa kufika mjini ndani ya dakika 45 mpaka lisaa limoja kutoka katika kijiji au kata yoyote ndani ya ngara? Na nauli maximum inakuaje kutoka kijijni hadi mjini?

Maana kwa ufuatiliaji wangu mdogo nimeambiwa ngara ni mji mdogo so nataka kujua zaidi kwa wenyeji je ku access mjini ni kwa mda mfupi?

Ikiwa hivyo kama ni mda mfupi nitapanga chumba mjini.

Natumai nitajibiwa vyema na wenyeji wa huko au kwa wadau waliowahi kuishi huko.

Naomba kuwasilisha kwenu ma great thinkers.
Jiandae kurogwa kwanza. Wahangaza na washubi urozi ndio dini yao kuu.
 
Back
Top Bottom