Unawezaje Kupost pumba MMU?

francismaka

Member
Aug 27, 2010
10
8
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....

with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..

Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?

Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..

Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..
 
Ulianza vizuri..sasa ulikoelekea nimeshindwa kukutofautisha na hao unaowaponda..au ndo yaleyale...kuongeza idadi ya 'post'..
 
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....

with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..

Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?

Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..

Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..

Acha kutafuta umaarufu kijana kirahisi rahisi
 
Kumbe kuna watu vidole vyao ndio vina BALEHE kushika key-bord na key-pads, duh hii kweli kali.
 
I bet uhusiano kati ya JF na wanajamvi; wanajamvi vs wanajamvi vs mods sio mzuri. Hii wave ya posts zinazofanana na hii ni kubwa.

I stand to be corrected lakini something is wrong somewhere. Discontentment
 
Siku zote ukimnyooshea mwenzio vidole, kimoja chaenda kwake, vitatu vinarudi kwako na dole gumba likisita sita.
 
Hivi kila mtu akiwa serious humu Jf, wengine tutaondolea wapi stress zetu?, sometimes inafurahisha kusoma vituko vya mtu binafsi.
we ukiona hiyo post ni ya mtu ambaye vidole vyake ndio kwanza vimebalehe basi ipotezee, sio lazima usome.

But nakubaliana na wewe kwamba kuna pumba nyingi, sometimes unajiuliza huyu mtu kafikiria nini ku post? ila jitahidi kuheshimu mawazo yake.we r not the same.
 
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....

with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu unawezaje kukurupuka na post pumba kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc..

Give me a break!!!....who cares na personal interest zako.. nani asiyejua ku***.. Kuna mitandao kibao ya under 14 ambayo unaweza kupeleka pumba zako...unajua maana ya Great thinker?

Kwa upande wa pili .nafagilia sana tena sana..zile post kibao za wale Great thinkers..wa MMU..yaani wanaomba na kutoa ushauri wa maana..Pia wale wanaotoa post za kufundisha maana ya mahusiano na urafiki..wa kweli..

Nina hasira na post toka kwa wale ambao vidole vyao vinakuwa kama ndio vimebalehe na keyboard za computer au simu zao..

Heri wewe umepata ujasiri wa kukemea.
Asante.

Mtumishi.
 
Pumba kila mtu huwaga anazitoa. Na huwezi ukazuia watu kutoa pumba kwa sababu hoja kama ni pumba au la inategemeana na mtazamo wa mtu.

Kuna wengine tu, kwa mfano wale wasiompenda Nyani Ngabu, wanaweza kabisa kuona hata hiki nilichoandika hapa ni pumba na wengine wakaona nilichoandika ni kuntu. Pumba za maoni hazina vipimo wala chujio linalokubalika na wote.

Cha msingi ni kuwa mvumilivu na muelewa wa maoni yaliyo tofauti na ya kwako. Kuna wengine 'jiwe' mwenzio analiona 'mkate'. Sasa katika hali kama hiyo ni uelewa tu ndiyo unaohitajika ili kusonga mbele pasipo na kukwazana.
 
Back
Top Bottom