Unaweza kuwatambua hawa hawa..?

Unaweza kuwatambua hawa hawa..?

Huyo nyuma ya Elvis Presley mbona kama ni yule viti maalumu wa kiume?

Ha ha ha ha ha mbavu zangu mie Baba V.. Lol.. Ndo maana wanakupiga ban ukionyesha tu sura yako kwenye jukwaa lileee.. Duh.. Halafu ninaona sasa mfananio.. Ila huyu amenuna lakini yule mbunge wetu wa viti maalum wa kiume ndo sura yake..
 
Last edited by a moderator:
hongereni aiseh vp matunda ya penzi lenu ni lini thatha......nina kababy walker hakana pa kupelekwa kanawasubilia nyie.

Ndo tunafanyia kazi hilo Asnam.. Mapovu yalizidi so tunafanya mpango wa kuondoa mapovu ili kusiwe na misi kwenye mzigo..
 
Last edited by a moderator:
hongereni aiseh vp matunda ya penzi lenu ni lini thatha......nina kababy walker hakana pa kupelekwa kanawasubilia nyie.

Subiri miezi tisa ijayo utakatumia wewd mwenyewe
 
Yule aliyekuwa analia na kutokuwepo kwa mitaala.. Ningemtaja ila ban itanihusu

hahahahaha nitajie kwenye pm afu nasikia umepata cheo cha unympala huko sero ndo maana unapenda kurudishwa everytime.
 
Last edited by a moderator:
khaaa bebi sosoliso....kumbe nilisinzia wakati unahangaika na huu uzi......... iyo picha yetu uliyoiweka humu kumbe uliniibia wewe............hufai!!
 
Last edited by a moderator:
1. View attachment 96268 2. View attachment 96269 3. View attachment 96270 4. View attachment 96273

Haya kazi kwenu kutambua hao ni akina nani.. Angalizo picha namba 3 inamuonyesha Muhammad Ally.. Hao wengine ni nani..?

cc Paloma.. Passion Lady.. Madame B Bishanga.. saudari.. Safari_ni_Safari.. Bujibuji.. Elli.. Erickb52.. Arushaone.. manoah.. Mr Rocky & others

1. William Jefferson Blyth a.k.a Bill Clinton (The 42nd President of the United States of America).

2. Ernesto Guevara a.k.a Che Guevara (This man fought in many countries to liberate majority from minority dictatorship

3. Cassius Clay, a.k.a Muhamad Ali (Boxer)with his slogan "Sting
like a bee"

And those four are "The Beetles Group"

4. Elvis Presley, The Musician, Poet, Song writer and a man of his age in the then latest music on the billboard.

 
Back
Top Bottom