sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
1. View attachment 96268 2. View attachment 96269 3. View attachment 96270 4. View attachment 96273
Haya kazi kwenu kutambua hao ni akina nani.. Angalizo picha namba 3 inamuonyesha Muhammad Ally.. Hao wengine ni nani..?
cc Paloma.. Passion Lady.. Madame B Bishanga.. saudari.. Safari_ni_Safari.. Bujibuji.. Elli.. Erickb52.. Arushaone.. manoah.. Mr Rocky & others
Blue G hahahaha aisee,uisinizeeshe am still younghao wa kwenye hiyo picha ya kwanza ni saudari na mke wake walikuwa picnic,picha ya pili ni taamu anasip juisi kwa mrija akiwa na raha,hiyo ya tatu tukianza na yule wa kibondia ni NIGGA Mr Rocky manoah Tamatheo na TheDealer,hiyo ya nne ni saudari akifuatiwa na sosoliso enzi zile ndio kwanza wanaingia jeshini.
Asanteni nawasilisha na kama ni mtihani nadhani nitakuwa nimepass 100% labdda tu my mwalimu ticha aamue kunibania.
haaaahaaaaaahaaaaaa goodest.hahahaha aya bana no more comment :msela:
Mie mgeni mtaa huu.. napita
Nimemuöna mfalme wa rock n roll japo wanasema soda ina gesi lakini haitokei ntwara nnesafari kutoka dar mpaka ntwara sijaona hata nti m1 neona nlima tu japo inategemea ntu na ntu.
hao wa kwenye hiyo picha ya kwanza ni saudari na mke wake walikuwa picnic,picha ya pili ni taamu anasip juisi kwa mrija akiwa na raha,hiyo ya tatu tukianza na yule wa kibondia ni NIGGA Mr Rocky manoah Tamatheo na TheDealer,hiyo ya nne ni saudari akifuatiwa na sosoliso enzi zile ndio kwanza wanaingia jeshini.
Asanteni nawasilisha na kama ni mtihani nadhani nitakuwa nimepass 100% labdda tu my mwalimu ticha aamue kunibania.
No. 2 ni mwanamapinduzi Ernesto Che Guevara akinywa kinywaji cha kujiburudisha 'mate' katikati ya mapambano katika milima ya Escambray cuba. No.3 ni vijana wa 'The beatles' waliokua mashuhuri kwa muziki wa pop wakiwa na bondia mashuhuri katika historia Mohamed Ali. No.4 ni Elvis Presley enzi zake jeshini. No.1 hapo natoka kapa.1. View attachment 96268 2. View attachment 96269 3. View attachment 96270 4. View attachment 96273
Haya kazi kwenu kutambua hao ni akina nani.. Angalizo picha namba 3 inamuonyesha Muhammad Ally.. Hao wengine ni nani..?
cc Paloma.. Passion Lady.. Madame B Bishanga.. saudari.. Safari_ni_Safari.. Bujibuji.. Elli.. Erickb52.. Arushaone.. manoah.. Mr Rocky & others
mie mzima jamani,hofu kwako tu,ila nimekumisije mpaka nilivyoiona ile picha tuu we ukawa wa kwanza kukutambua!!!!!!!!!!!
hahahahahahahaha ........... mambo mengi yamenitinga clients wanataka kazi zao, wako shingoni mwangu wamening'inia!
ila nakuona unakula pale juu, unanitamanishaje!
Sio yule bingwa wa elimu?ndo nani huyo mbunge mbona simjui.