Unaweza kuwatambua hawa hawa..?

Unaweza kuwatambua hawa hawa..?

heheheeeeee unanipa raha mweninzio si uje tuungane tule wote?afu kuhusu hao maclients si uniajiri tu na mimi niwe msaidizi wako niwe nakupiga tafu?

haya nakuja tuungane, ila mm napiga zile kubwa kubwa km kile kijiko cha katapila! kuhusu clients; wewe mwenyewe inawezekana ni mmoja wa clients wangu! maana wengi sifahamu id zao humu jf! km ni mmoja wao usijali bosi wangu, kazi yako nitakupa at a right time as i promised! sawa bosi wangu!
 
sintojali banah hata uwe unabeba kama dampa kuuuubwa as long as we'll be the same table with you i won't care,kuhusu client huenda kweli nikawa client wako lakini kwani what are you dealing with?

mahesabu bosi wangu! uandaaji wa mahesabu ya biashara! na masuala mabalimbali yahusuyo kodi kwenye biashara! deadline 30thjune 2013 mnanikabaje koo Blue G!
 
Last edited by a moderator:
Daaaahhh hongera sana mkuu,ila mbona unaniangusha?kwani we ulitaka tumkabe nani kama si wewe?basi kama mimi naonaje sifa kukukaba?
mahesabu bosi wangu! uandaaji wa mahesabu ya biashara! na masuala mabalimbali yahusuyo kodi kwenye biashara! deadline 30thjune 2013 mnanikabaje koo Blue G!
 
hao wa kwenye hiyo picha ya kwanza ni saudari na mke wake walikuwa picnic,picha ya pili ni taamu anasip juisi kwa mrija akiwa na raha,hiyo ya tatu tukianza na yule wa kibondia ni NIGGA Mr Rocky manoah Tamatheo na TheDealer,hiyo ya nne ni saudari akifuatiwa na sosoliso enzi zile ndio kwanza wanaingia jeshini.
Asanteni nawasilisha na kama ni mtihani nadhani nitakuwa nimepass 100% labdda tu my mwalimu ticha aamue kunibania.

Huyo mwenye mpira sio wewe habari zs masiku tele mtoto mzuri
 
Blue G mbona unataka kunizibia riziki mtoto wa mwenzio, nani kakuambia mie nimewowa?
 
Last edited by a moderator:
image.jpg
Wewe kyanaKyoMuhaya mbona hiyo kofia moja wanapokezana mtu 3?
Inamaana Bujibuji, Baba V na King Kong III wamefulia kiasi cha kushare cap moja!!!!!

kwani wavaa jeans wamefulia? Na wewe vaa saudari.
 
Last edited by a moderator:
nzuri tu bwanah taamu ila mie kukumisi tu hoiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!u hali gani weye??????????????
Huyo mwenye mpira sio wewe habari zs masiku tele mtoto mzuri
 
Last edited by a moderator:
kwakua zimetoka Bank... au umeisha zoe pesa zilichoka choka?
mie natoa bank tu.. nikikupitia karibu ni lazima usikie harufu

rubbish!!!
hujui hata fasihi wewe........
 
Mkuu Blue G nilikuwa chimbo ndiyo narudi leo ila hapo nimempa Ally tu hao wengine kama Wachungu vile. tehe teheeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom