Unaweza kuwatambua hawa hawa..?


Asnam

Asnam

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Messages
4,260
Points
1,225
Asnam

Asnam

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2012
4,260 1,225
huyo mdada picha namba moja ni Paloma
 
Last edited by a moderator:
saudari

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
2,658
Points
1,195
saudari

saudari

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
2,658 1,195
Macho yangu yako kidigitali zaidi.
sosoliso, hebu niwekee wakidigitali nikudadavulie faster.
 
Last edited by a moderator:
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,182
Points
2,000
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,182 2,000
Macho yangu yako kidigitali zaidi.
sosoliso, hebu niwekee wakidigitali nikudadavulie faster.
Ha ha ha.. Macho yako hayana nguvu hayo saudari.. Mapenzi yenu ya kisasa wanakunyonya mpaka macho.. Utapoteza saiti ukifanya mchezo..
 
Last edited by a moderator:
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,182
Points
2,000
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,182 2,000
Elvis Presley sosoliso, nadhani nimekustaajabisha
Lol.. serious nilijua litakusumbua Bujibuji.. Wengi wameshindwa kumtambua kama ni yeye Elvis Presley.. Mkwewe marehem Michael Jackson..
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,540
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,540 2,000
Lol.. serious nilijua litakusumbua Bujibuji.. Wengi wameshindwa kumtambua kama ni yeye Elvis Presley.. Mkwewe marehem Michael Jackson..
Bujibuji sio kwamba alikuwa mkali class tu, hata kanisani pia
 
Last edited by a moderator:
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,155
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,155 2,000
Nimemuöna mfalme wa rock n roll japo wanasema soda ina gesi lakini haitokei ntwara nnesafari kutoka dar mpaka ntwara sijaona hata nti m1 neona nlima tu japo inategemea ntu na ntu.
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
Mie mgeni mtaa huu.. napita
 
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,182
Points
2,000
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,182 2,000
cc.jpg

Aiseee Bujibuji ukipatia hapa nitakuamkia mpaka mwaka uishe.. Ni nani huyu..?
 
Last edited by a moderator:
saudari

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
2,658
Points
1,195
saudari

saudari

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
2,658 1,195
Mapenzi yenu ya kisasa wanakunyonya mpaka macho.. Utapoteza saiti ukifanya mchezo..
Sasa hivi tunaangalia yale ya kidigitali zaidi mambo ya analogia tupa kule.
 

Forum statistics

Threads 1,284,841
Members 494,294
Posts 30,842,068
Top