Unaweza kutumia mswaki wa mpenzi wako?

Kushare mswaki? Ili iweje sasa? mswaki 300 tu, halafu tutumie mmoja, hata kama umaskini hii no! mswaki una zama ndani ya meno na kutoa hadi vyakula ya mwaka juzi. Hiyo ni BIG NO.

tatizo sio bei

vitu wanavyoshare wapenzi vingi havina gharama
 
Mambo ya kawaida sana ... Hatujawah kuwa na miswaki miwili na tunaishi pamoja miaka mitatu sasa... Katika mapenz tunashare mambo mengi saaaana mswak ni jambo dogo sanaa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kushare mswaki? Ili iweje sasa? mswaki 300 tu, halafu tutumie mmoja, hata kama umaskini hii no! mswaki una zama ndani ya meno na kutoa hadi vyakula ya mwaka juzi. Hiyo ni BIG NO.
Mbona denda ndio balaa zaidi maana kama ulimi ulikuwa una rangi nyeupe kutokana na kula wali au ugali baada ya denda ulimi unatoka mwekundu na kurudi kwenye hali yake ya kawaida na chembe chembe zote nyeupe zinatoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom