Unaweza kutumia mswaki wa mpenzi wako?

Sijawahi,sitegemei na wala siwezi kufanya huo u,,,,,,,,sababu mswaki unakiharufu fulani hivi.BIG NO.
 
Mswaki natumia sana tu na wala cjaona ubaya, coz ukiwa na mpnz wako unafanya vitu vingi ambavyo hu perceive kama uchafu but infact ni uchafu haswaaa!!!
Tena ukiona MSWAK unatoa harufu hiyo ni dalili ya uchafu ulokithir coz mswaki unaooshwa japo hata kwa maji tu huw msafi na hauna harufu mbaya, na ukiutia maji na sabuni utaupenda.
 
Mswaki kwani ajabu? Watu wanashea visivyotizamika iwe mswaki..! Mtu anaenda uvunguni tena kwa ridhaa yake, iwe mswaki...
 
Kushare mswaki? Ili iweje sasa? mswaki 300 tu, halafu tutumie mmoja, hata kama umaskini hii no! mswaki una zama ndani ya meno na kutoa hadi vyakula ya mwaka juzi. Hiyo ni BIG NO.

kwani unapozama kwenye denda huwezi kufyonza hadi mabaki ya harage la jana?
 
Sio denda tu mkuu,kuzama chumvini nako itakuwaje km kushare mswaki tu ni hatari:p

yeah...kama kushare mswaki tu jamaa anaona shida, vipi kuzama uvinza? inaonekana jamaa ni mkoloni sana.

watu tunazama uvinza daily, mswaki ndio tushindwe kushare? mbona kushare mswaki ni kitu cha kawaida sana?
 
Mi wa kwangu cjaukalili bac kila siku malalamiko kutoka kwa wife aisee
Nimeamua kuzila kabisa na mswaki wenyewe kuepusha shari tuone sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom