Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,331
- 10,752
Aiseee.... Nikiweka picha yangu ya mattercore hapa... Nakijichupi... Ntakuwa miongoni mwa vichaaa...Hapana mkuu nataka kuona hapa hapa.....
Aiseee.... Nikiweka picha yangu ya mattercore hapa... Nakijichupi... Ntakuwa miongoni mwa vichaaa...Hapana mkuu nataka kuona hapa hapa.....
Nakujua denda unaweza piga kwa mkeo kiroho safi, je mate yakiwekwa kwenye kikombe ya mmeo/mkeo, je unaweza yanywa?Heri ya Mwaka wakuu
Haya twende kwenye mada
Je?, ni sahihi kwa mume na mke kushare mswaki?
Hahaha.....Bhasi weka kule mkuuAiseee.... Nikiweka picha yangu ya mattercore hapa... Nakijichupi... Ntakuwa miongoni mwa vichaaa...
😁😁😁Utavaa bikini ya mkeo kisa ni mwili mmoja mnashea nyeti?