Unaweza kutumia mswaki wa mpenzi wako?

Tatizo mswaki wa naniliu haujatokea UK! Miswaki ya sh 200 ukishapigia once unakuwa umechangamka kama brashi ya chooni, hauswaki meno tena unaishia kwenye fizi!
ngoja nikaswaki na mswaki wa naniliyu kuongeza makashkash.
 
Mhhhhh! kweli wabongo tumekwisha, mpaka mswaki tunaagiza toka UINGEREZA!
sredi nyingine zinakufanya uwe mjinga tu!
 
hatumii ya 200, anaagiza mswaki mmoja from Yugoslavia na Bosnia na anaukatia seat ya business class, swiss air.

Tatizo mswaki wa naniliu haujatokea UK! Miswaki ya sh 200 ukishapigia once unakuwa umechangamka kama brashi ya chooni, hauswaki meno tena unaishia kwenye fizi!
 
ha ha ha, umenikumbusha kiswahili cha darasa la 5.

Pigia mstari maneno yanayoranda
mjanga, majanga, mjinga,

Mhhhhh! kweli wabongo tumekwisha, mpaka mswaki tunaagiza toka UINGEREZA!
sredi nyingine zinakufanya uwe mjinga tu!
 
Hivi huyo rafiki yako ni ME au KE ...... Booooooofffffffffffffffffffffffffffffffffff. tih tih tih tih
 
Aww hell nawww..umezaliwa nae?utaish nae milele,ata angekuwa ur sibling!never,kiafya no!kimapenz n uchafu ulokithiri,af acha ulimbuken,hata kama ungenunua peponi,after 3month kiafya change mswaki! Sembuse uk!kwan utautumia milele?lol ndo walewalee et lotion nimenunua USA kopo hutupi,unajaza makopo empty ndan! Gimme a bre-a-k..wat is UK Compared 2ur health! Jithamin ndo uweze kumthamin mwenzako!! Basi mshee na vyupi uone kaz yake..
 
jamaa alizama chumvini baada ya kutoka akawa anajichokonoa na kijiti. mpenzi wake kamwambia "naona leo umekula nyama", jamaa akajibu "hapana nachokonoa vuz lilonasa kwenye meno".

hahahahaha! Makubwa!
 
Hapa mara naelewa, mara sielewi.

Hiyo movie ambayo NN inakutisha, mie ndo natamani kuiona, huwa na tatizo la kutaka kujaribu nilichokatazwa.

Hayo ya mswaki, duh, no kabisa ni sawa tu na hayo mapenzi ya kisasa ya kutemeana na kuumana bila sababu.

.

Kongosho! - unauhakika unataka kuiona?
Utaweza kuvumilia kuiangalia hata dakika 1?!

Haya ntaku-PM nakutumia link ... ndio ujue alichomaanisha NN

Alafu ukisha-iangalia njoo useme kama unaweza kufanya hivyo!

.
 
jamaa alizama chumvini baada ya kutoka akawa anajichokonoa na kijiti. mpenzi wake kamwambia "naona leo umekula nyama", jamaa akajibu "hapana nachokonoa vuz lilonasa kwenye meno".


Jaman mbavu zangu uwwiii!!!! lol
 
Hata chumvini ni yale yale tu. Bila kujitoa fahamu huwezi kuzama. Hebu fikiria, hivi unapozama huko chumvini unakuwa umefanya ukaguzi kama huo mgodi hauna yeast infection?

Na kama unazama gizani, una uhakika gani kama huo mgodi haujaanza ku-leak hedhi? Manake hedhi zingine huwahi kuja au wakati mwingine ziko irregular.

Na unapozama huko mgodini unakuwa umepasafisha mwenyewe? Mara nyingi inakuwa siyo hivyo kabisa. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana unaramba madudu ya kila aina ambayo pasipo kujitoa fahamu huwezi hata kuwaza kufanya hivyo unless uwe ni mmoja wa wale nasty perverts kama wale "two girls and a cup".

Check out hii episod ya two girls and a cup

 
Last edited by a moderator:
Du hiyo kali tena, hata iweje siwezi, nitatumia hata vidole kusafisha kinywa...lakini na wewe huyo demu mshamba asiyejua mtu ni afya umemuokota wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom