Unaweza kutumia mswaki wa mpenzi wako?

Nilichokiona cha maana ulichotaka kutwambia juu ya mswaki toka UK. Nanaimani kuwa kama ungekuwa umeunumua tz usingeanzisha thread.

Hivi bei mbaya ndio shs ngapi jamani!?Ma WISDOM yamejaa hapa mujini wewe mpaka uagize UK, mbona anaturudisha nyuma enzi za mwalimu raba mtoni na jeans za Lee mpaka watu waende Ulaya huyu..
 
Hata chumvini ni yale yale tu. Bila kujitoa fahamu huwezi kuzama. Hebu fikiria, hivi unapozama huko chumvini unakuwa umefanya ukaguzi kama huo mgodi hauna yeast infection?

Na kama unazama gizani, una uhakika gani kama huo mgodi haujaanza ku-leak hedhi? Manake hedhi zingine huwahi kuja au wakati mwingine ziko irregular.

Na unapozama huko mgodini unakuwa umepasafisha mwenyewe? Mara nyingi inakuwa siyo hivyo kabisa. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana unaramba madudu ya kila aina ambayo pasipo kujitoa fahamu huwezi hata kuwaza kufanya hivyo unless uwe ni mmoja wa wale nasty perverts kama wale "two girls and a cup".

Kweli umechanganua kaka.....
 
Unaua chanzo cha fahamu ndo unazama kunako dah!!
 
Acha ushamba ndugu yangu,huyo ni mpnz wako na isitoshe mnaaminiana,mnapeana denda ije kuwa mswaki?hakuna madhara yoyote bro.wasi wasi wako2 ilimradi wote muwe wasafi na waaminifu!
 
Leo nilitembelewa na mpenzi wangu, akaenda bafuni kuoga, mara nikamuona anapiga mswaki
akitumia mswaki wangu, nikashtuka na kumuuliza kwa nini anatumia mswaki wangu? Akanijibu kwani vibaya! Wewe si mpenzi wangu! Kama hutaki nitumie basi hunipendi? Nikazuga kumwambia nakutania.
Hivi wana Jf is it ok kutumia mswaki wa mke/mpenzi wako?? Hakuna madhara? Niutupe mswaki au?
Kinachonifanya nisite kutupa huu mswaki nimeagiza karibuni kutoka Uk na ni bei mbaya (wisdom toothbrush)

Mie mbado kufika huko.....Nitafanya yote ila hili la kushare mswaki ni big NO, je kama anatoa damu kwa fizi....maambukizi si ni probability kubwa!! sana
 
Dawa ya mswaki ina chemical inaitwa sodium Monofluorophosphate ambayo inaua bacteria so no harm sharing.
 
mimi na mpenzi wangu tunashare mswaki... kwangu sioni tatizo kabisa
 
kuchangia thread hii ni uwendawazimu, mleta mada kutuambia mswaki wake aliagiza toka u.k. ni mpumbavu, aingii akilkni kwa mtu mwenye akili. uwehu huo kuijadili post hii..........
 
mapenzi hayana uchafu ile kitu hakielezeki jamani.utaukataa uchafu wa mswaki kwa kuambukiza magojwa wakati kila step before tendo ni hatari kuliko tunavodhania
 
Du hiyo kali tena, hata iweje siwezi, nitatumia hata vidole kusafisha kinywa...lakini na wewe huyo demu mshamba asiyejua mtu ni afya umemuokota wapi?

mnapolala naye ,fyonzana ndimi hujui mtu ni Afya ,huyo ni mpenzi wako usi muonee kinyaa acha hiyo
 
mimi nilishasau mswaki wangu ni upi make mimi na mke wangu hatuchagui! Tatizo nini hapa kila siku unamla denda mke wako unazama chumvini halafu mnaleta vinyaa kwa danganya toto hapa!
 
Je! Unaweza kushare mswaki na mpenzi wako jibu langu:Japoo denda nakula mswaki hapana
Sijui nyie wenzangu.
 
Kushare mswaki? Ili iweje sasa? mswaki 300 tu, halafu tutumie mmoja, hata kama umaskini hii no! mswaki una zama ndani ya meno na kutoa hadi vyakula ya mwaka juzi. Hiyo ni BIG NO.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom